Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kusukumwa tena sasaiv imekua offside [emoji3][emoji3]
Hakuna neno offside kwenye hiyo clipSio kusukumwa tena sasaiv imekua offside [emoji3][emoji3]
Walokataliwa goli ni Geita gold, wewe shabki wa Yanga unaumizwa na nini? Tena lilikuwa goli la kusawazisha ambalo ambalo hata wangepewa bado Simba isingepoteza ule mchezo bali wangetoa droo! Vipi kuhusu ile penati mlopewa kule Lindi dhidi namungo kama msingepewa ingekuwaje?Nawasubili tena apa wale wanaojifanyaga wanaumizwa na upuuzi wa marefa pindi yanga inapobebwa sasa wajitokeze tena kukemea kilichotokea kwenye mechi ya simba na geita gold, je goli la kusawazisha la geita limekataliwa kwa misingi ipi? Mchezaji aliotea au kapombe alisukumwa? Jibu analo mwamuzi martini sanya!!!!!
Eti George alimgusa[emoji3][emoji3]Hakuna neno offside kwenye hiyo clip
Umeandika upuuzi mtupu, haya mambo afanyiwa Simba tu?Kama zilikuwa ni tetesi sasa ni dhahiri na bayana kuwa timu zetu zinacheza mpira nje ya viwanja. Huu ni msiba mkuu kwa timu zinazodhulumiwa, wapenda soka, wadhamini wanaomimina pesa zao na TFF. Timu zetu zinaruhusiwa kusajili wachezaji wengi wa kigeni lakini bado hazijiamini. Kuanzia leo sintaangalia mechi za ligi hii, hii itanisaidia kupata amani ya moyo na kuepuka maudhi yasiyokuwa na ulazima.
Tulitegemea TFF ingekuwa inatoa adhabu kali sana (kuwafuta kabisa) kwa waamuzi wanaochezea hela za wafadhili na watu wanaokwenda viwanjani na wanaoangalia kwenye luninga.
Timu za aina hii ni hatari sana kwa afya za wadau wote wa mpira nchini. Kutokana na matukio haya, timu zina haki kuogopa kuingia vyumba vya kubalishia nguo viwanjani wanapocheza na timu za aina hii.
Hakuna neno offside kwenye hiyo clip
Waga napata tabu Sana kukuelewa Mkuu, kwenye majukwaa mengine waga mtu smart Sana ila linapokuja swala la Uyanga sijui akili zako waga unazifungia wapi, umeanzisha uzi ukisema ushahidi ila tunafungua uzi hakuna ushahidi wowote ulioweka bali ni kulia lia kwako tu kama kawaida yakoKama zilikuwa ni tetesi sasa ni dhahiri na bayana kuwa timu zetu zinacheza mpira nje ya viwanja. Huu ni msiba mkuu kwa timu zinazodhulumiwa, wapenda soka, wadhamini wanaomimina pesa zao na TFF. Timu zetu zinaruhusiwa kusajili wachezaji wengi wa kigeni lakini bado hazijiamini. Kuanzia leo sintaangalia mechi za ligi hii, hii itanisaidia kupata amani ya moyo na kuepuka maudhi yasiyokuwa na ulazima.
Tulitegemea TFF ingekuwa inatoa adhabu kali sana (kuwafuta kabisa) kwa waamuzi wanaochezea hela za wafadhili na watu wanaokwenda viwanjani na wanaoangalia kwenye luninga.
Timu za aina hii ni hatari sana kwa afya za wadau wote wa mpira nchini. Kutokana na matukio haya, timu zina haki kuogopa kuingia vyumba vya kubalishia nguo viwanjani wanapocheza na timu za aina hii.
Unadhani huyu mwamuzi Sanya anafanya hivyo bure bure tu? Hata kama itatokea timu nyingine zinazotaka kununua waamuzi, basi watafanya hivyo baada ya kuiona Simba inatumia mbinu hiyo na kufanikisha na TFF ya sasa iko kimya na baridi.Angalau washabiki wa Simba wanakua waungwana na wapenda haki. Pale muamuzi anaposhindwa kutenda haki hata kama ni kwa faida ya Simba watasema kua maamuzi ya refarii yamewabeba na hayakuwatendea haki wapinzani
Lakini Uto hua hawakubali hata kidogo. Mashabiki wao ni walalamishi mwanzo mwisho. Zile mbeleko za waziwazi kama ile penati dhidi ya Namungo wala hawaoni kama yalikua maamuzi mabovu ya refarii just because yamewabeba wao. Utopolo nyinyi pia kuweni waungwana. Mnapopendelewa mseme wazi kama SSC
Kolo la kimataifaHakuna neno offside kwenye hiyo clip