Regional Per Capita GDP: Hii ndio Mikoa 7 ambayo Wananchi wake wana kipato cha Uchumi wa kati Tanzania Bara

Regional Per Capita GDP: Hii ndio Mikoa 7 ambayo Wananchi wake wana kipato cha Uchumi wa kati Tanzania Bara

Sometimes ni kweli lakini kama resources ni chache eneo husika hili linakuwaje..haiwezi kuleta umaskini kwa watu wake kukosa elimu na maarifa ya kujikwamua?
Mwanza ndio mkoa pekee Tanzania ambao utajiri uko kuanzia mijini hadi vijijini

Mijini kuna biashara nyingi sana ukienda vijijini kuna samaki na pamba na mifugo mingi na migodi kibao ya dhahabu
 
Mwanza ndio mkoa pekee Tanzania ambao utajiri uko kuanzia mijini hadi vijijini

Mijini kuna biashara nyingi sana ukienda vijijini kuna samaki na pamba na mifugo mingi na migodi kibao ya dhahabu
Ingekuwa hivyo ungekuta imetokea hapa na pia mapato ya halmashauri zake zingekuwa zinafanya vizuri bahati mbaya kwako kila Takwimu zinaenda Kinyume na hisia zako.

Fanyeni kazi ,punguzeni kuzaana hovyo na tafuteni elimu na maarifa vinginevyo mtaishia kujifariji.Spika kawaambia muache kuezekea nyumba zenu mabati ya kutengenezea masufuria.
 
Maskini na wasio na ujuzi hawawezi kuwa soko na hawawezi kupandisha GDP.Kwani kilichofanya GDP ya Nigeria kuwa kubwa sio watu wake maskini bali Mafuta ko usikariri.
Unasema hawezi kuwa soko? Hanunui nguo ?huwa wanatembea uchi au? Hanunui chakula au chumvi ?
 
Mwanza ndio mkoa pekee Tanzania ambao utajiri uko kuanzia mijini hadi vijijini

Mijini kuna biashara nyingi sana ukienda vijijini kuna samaki na pamba na mifugo mingi na migodi kibao ya dhahabu
... sasa mbona Mwanza haitoboi? Badala yake imebaki kichaka cha magamba kujitwalia kura za bwerere?
 
Acha kukurupuka wewe nimekuwekea source hapo na vigezo kama ni la saba sema usaidiwe
Mkuu hujamwelewa jamaa. Kuna mwingine alikua anamcrush nyuma huko kwann mwanza haiko top ten. Huyu ndo akamjibu top ten ya nn wakati amewekewa 7 tu? Kwahiyo hapo umemuonea. Wanalazimishaje ziwe 10 wakati 7 ndo zimekidhi?
 
... ni mimi ndiye nilihoji kwanini Kagera (sio Mwanza) haipo top 10? Iko hivi; umepewa list ya top 7 things X1, X2, X3, X4, X5, X6, na X7; X1 being the top most.

Halafu ukapewa list ya 5 least similar things Y1, Y2, Y3, Y4, na Y5; Y5 five being the least.

Hivi mtu akihoji kwanini Y5 haimo kwenye top 10 atakuwa anakosea hata kama top list imeishia 7 things peke yake? Simple logic ni kwamba Y5 haiwezekani ikawemo kwenye top 10; never ever!
 
Back
Top Bottom