Regional Per Capita GDP: Hii ndio Mikoa 7 ambayo Wananchi wake wana kipato cha Uchumi wa kati Tanzania Bara

Regional Per Capita GDP: Hii ndio Mikoa 7 ambayo Wananchi wake wana kipato cha Uchumi wa kati Tanzania Bara

Kwahiyo wewe binafsi unaamini tupo uchumi wa kati??
Naamini ndio kwa vigezo vya GDP na mimi ni miongoni mwa wananchi tulioko uchumi wa Kati kwa sababu mapato yangu ni zaidi ya dola 2 kwa siku.
But Watzn wengi hawako uchumi wa Kati
 
Mikoa ya kusni mbona hawana madini na grits na mwanza kuna mzunguko wa pesa kuliko mikoa ya kusni. Source of your information please, short of that unaweza kuwa umejiandikia tu kadri ya mapenzi ya nafasi yakp. Hivi mahindi ya Njombe na ruvuma yanayouzwa gunis 18,000/- kea gunis ndiyo yafanye hiyo mikoa iwe juu? . Tujengebtabia ya kuhoji chanzo cha taaria , tusiwe tunalishsa fake news. Kazi iendelee!
Hayo madini kila mwananchi anachimba au ni wachache Sana plus makampuni?

Huyo wa mahindi akiwa na gunia 50 hadi 100 akichanganya na mapato mengine anamzidi mbali sana mtu anayeishi ukanda wa dhahabu afu hana anachonufaika

Afu usikurupuke kuchangia bila kusoma,chanzo cha taarifa ni Idara rasmi ya serikali.
 
Naamini ndio kwa vigezo vya GDP na mimi ni miongoni mwa wananchi tulioko uchumi wa Kati kwa sababu mapato yangu ni zaidi ya dola 2 kwa siku.
But Watzn wengi hawako uchumi wa Kati
... duh! Kigezo mojawapo cha uchumi wa kati ni USD 2 kwa siku? Yaani TZS 2 x 2,300 = 4,600? Yaani at least 4,600 x 30 = 138,000/= kwa mwezi? Kama ndio hivyo, uchumi wa kati ni siasa tu hamna lolote.
 
Naamini ndio kwa vigezo vya GDP na mimi ni miongoni mwa wananchi tulioko uchumi wa Kati kwa sababu mapato yangu ni zaidi ya dola 2 kwa siku.
But Watzn wengi hawako uchumi wa Kati
Wewe ni kilaza sijawahi ona.
Endelea kuamini hizo data zenu za kupika mlizorithishwa na mwendazake.
 
Uwe uchumi wa kati ushindwe kupandisha mishahara na madaraja ya watumishi kwa miaka 6??
Uwe uchumi wa kati ushindwe kuajiri kwa miaka 6??
Uwe uchumi wa kati ushindwe kumaliza miradi ya kimaendeleo kwa wakati??
Uwe uchumi wa kati utumie mabavu na mitutu ya bunduki kukusanya Kodi kwa wananchi??

Ni taahira pekee ndo ataamini kuwa Tanzagiza ipo uchumi wa kati.
Uchumi wa Kati tumefikia ila sema sekta zinazochangia zaidi kukua kwa uchumi zimeshikwa na wachache ndio maana watu wengi hawana kitu mfukoni.

Pia gap la wenye nacho na wasio kuwa nacho ni kubwa Sana.

Kutofanya hayo uliyotaja ni kwa utashi wa kiongozi na mipango aliyokuwa nayo.Hakuna pesa iddle ukiona pesa imepelekwa sehemu Y ujue sehemu X wameumia
 
Mikoa wanayotoka Ndugai na Mwigulu imejaa mafukara haswa pamoja na kukubatia CCM, shame on them
 
Sio ukubwa wa soko ni ukubwa wa Productions and Services divide by Population
Production iko kubwa sana ukichukua mifugo yote ya mkoa wa mwanza ngombe,mbuzi ,kuku ,samaki wote nk ukigawa kwa population ya mwanza per capita utakayopata ni kubwa sana
 
.... hata Kagera? Mkoa uliobarikiwa kila aina ya mazao; evergreen everywhere unakosaje kuwa kwenye list ya 10 bora?
Kagera na Singida miaka yote hii Mikoani inaongoza kwa takwimu za umaskini (wenye kipato kidogo)
 
Wewe ni kilaza sijawahi ona.
Endelea kuamini hizo data zenu za kupika mlizorithishwa na mwendazake.
Pole sana kama umeachwa na uchumi wa kati.Hizi ni taarifa za kiuchumi rasmi kama hutaki utajua mwenyewe na hapa sio swala la kuamini ni swala la facts amabzo zimetokana na utafiti,mambo ya imani na feelings baki nazo mwenyewe
 
Mikoa ya kusni mbona hawana madini na grits na mwanza kuna mzunguko wa pesa kuliko mikoa ya kusni. Source of your information please, short of that unaweza kuwa umejiandikia tu kadri ya mapenzi ya nafasi yakp. Hivi mahindi ya Njombe na ruvuma yanayouzwa gunis 18,000/- kea gunis ndiyo yafanye hiyo mikoa iwe juu? . Tujengebtabia ya kuhoji chanzo cha taaria , tusiwe tunalishsa fake news. Kazi iendelee!
uko sahihi .Iringa na njombe hamna kitu kule sijui wameziwekaje
 
Kagera na Singida miaka yote hii Mikoani inaongoza kwa takwimu za umaskini (wenye kipato kidogo)
... Kagera kwa climate yake haikutakiwa kuwa kwenye list ya umasikini! Achana na kahawa, ndizi za kila aina, n.k. hadi vanilla inalimwa kule wanakuwaje maskini?
 
Back
Top Bottom