HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Labda kisiasaDodoma hali itabadilika very soon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kisiasaDodoma hali itabadilika very soon
Boss....comment yako ilipaswa iambatane na mtiririko wa maelezoDodoma hali itabadilika very soon
Miye nilikua namtetea aliyekujibu. Mkuu mbona unajishusha sana? Wao kuweka 7 hawana akili? Ina maana hujui mpaka kuweka 7 hujui kwamba lazima kulikua na terms and conditions? Kwanini itake ziwe 10 ma hizo hazijafikia hiyo hadhi? Ni kitu cha kujiongeza tuu kwamba haijaqualify ndo maana hakuna 10. Usitakw kulazimisha nyeupe kuwa nyekundu mkuu.... ni mimi ndiye nilihoji kwanini Kagera (sio Mwanza) haipo top 10? Iko hivi; umepewa list ya top 7 things X1, X2, X3, X4, X5, X6, na X7; X1 being the top most.
Halafu ukapewa list ya 5 least similar things Y1, Y2, Y3, Y4, na Y5; Y5 five being the least.
Hivi mtu akihoji kwanini Y5 haimo kwenye top 10 atakuwa anakosea hata kama top list imeishia 7 things peke yake? Simple logic ni kwamba Y5 haiwezekani ikawemo kwenye top 10; never ever!
... hali ya kiuchumi ya mikoa YOTE ya Tanzania Mainland imetolewa (soma attachment). Mleta mada kaamua kuleta top 7 yenye unafuu kaachana na hiyo mingine. Wa kujiongeza ni wewe sio mimi; soma list nzima halafu urudi hapa.Miye nilikua namtetea aliyekujibu. Mkuu mbona unajishusha sana? Wao kuweka 7 hawana akili? Ina maana hujui mpaka kuweka 7 hujui kwamba lazima kulikua na terms and conditions? Kwanini itake ziwe 10 ma hizo hazijafikia hiyo hadhi? Ni kitu cha kujiongeza tuu kwamba haijaqualify ndo maana hakuna 10. Usitakw kulazimisha nyeupe kuwa nyekundu mkuu.
Kila sehemu kuna ardhi mkuu ila wako aggressive kutafuta pesa na ni hard working kweli kweli si wamama si wanaumeIla hizi nyanda za juu kusini naona kila mtu amekimbilia kuwekeza huko. Ni sehemu yenye neema sana hasa kwakua ardhi ipo ya kutosha. Kila mwenye nafasi akawekeze. Mkoa wa Iringa unavutia sana
Bye... hali ya kiuchumi ya mikoa YOTE ya Tanzania Mainland imetolewa (soma attachment). Mleta mada kaamua kuleta top 7 yenye unafuu kaachana na hiyo mingine. Wa kujiongeza ni wewe sio mimi; soma list nzima halafu urudi hapa.
Mhh. Hapana. Kilimanjaro hakuna ardhi kbs aisee. Hakina ardhi. We unadhani ardhi ingekuwepo hali ingekuaje...Kila sehemu kuna ardhi mkuu ila wako aggressive kutafuta pesa na ni hard working kweli kweli si wamama si wanaume
Kure humu elawa instanbul ere mshimbo navi..Vehitra sii.. kure mndu nekari iamba ng'ndo ku. Mbudhaa..[emoji28]
Field my foot,, mwendazake mwenyewe alituaminisha kuwa uchumi umepanda kwa 7.1% eti tuko uchumi wa kati.Watu wameenda field kufanya utafiti wewe unasema za kupika ,tupe za kwako basi mkuu
Achana na mwendazake,yule alikuwa muongo muongo na taarifa hizi zilikuwa zinaandaliwa zinawekwa marufuku kuzitoa kwa umma lakini kwa sasa ndio hivyo tunazitoa na ziko sahihi mkuuField my foot,, mwendazake mwenyewe alituaminisha kuwa uchumi umepanda kwa 7.1% eti tuko uchumi wa kati.
Umemsikia Samia alichosema juzi kati kuwa nchi ina hali mbaya kiuchumi? (Umeshuka kwa 4%)
Sasa huo uchumi wa kati ni wa kwenu tu huko chato???
Kwahiyo wewe binafsi unaamini tupo uchumi wa kati??Achana na mwendazake,yule alikuwa muongo muongo na taarifa hizi zilikuwa zinaandaliwa zinawekwa marufuku kuzitoa kwa umma lakini kwa sasa ndio hivyo tunazitoa na ziko sahihi mkuu
Mikoa ya kusni mbona hawana madini na grits na mwanza kuna mzunguko wa pesa kuliko mikoa ya kusni. Source of your information please, short of that unaweza kuwa umejiandikia tu kadri ya mapenzi ya nafasi yakp. Hivi mahindi ya Njombe na ruvuma yanayouzwa gunis 18,000/- kea gunis ndiyo yafanye hiyo mikoa iwe juu? . Tujengebtabia ya kuhoji chanzo cha taaria , tusiwe tunalishsa fake news. Kazi iendelee!Kwahiyo wewe binafsi unaamini tupo uchumi wa kati??
.... hata Kagera? Mkoa uliobarikiwa kila aina ya mazao; evergreen everywhere unakosaje kuwa kwenye list ya 10 bora?
Kwahiyo wewe binafsi unaamini tupo uchumi wa kati??
... kwamba Kagera hawana akili ya biashara? Sidhani!kua na mazao ni kitu kimoja na kua na akili ya biashara ni kitu kingine
... kwamba Kagera hawana akili ya biashara? Sidhani!
Uwe uchumi wa kati ushindwe kupandisha mishahara na madaraja ya watumishi kwa miaka 6??unatumia kigezo gan kusema haupo uchumi wa kati?