Sometimes ni kweli lakini kama resources ni chache eneo husika hili linakuwaje..haiwezi kuleta umaskini kwa watu wake kukosa elimu na maarifa ya kujikwamua?Birth rate ikiwa kubwa soko nalo linakuwa kubwa vile vile GDP inapanda
Maskini na wasio na ujuzi hawawezi kuwa soko na hawawezi kupandisha GDP.Kwani kilichofanya GDP ya Nigeria kuwa kubwa sio watu wake maskini bali Mafuta ko usikariri.Birth rate ikiwa kubwa soko nalo linakuwa kubwa vile vile GDP inapanda
Mwanza ndio mkoa pekee Tanzania ambao utajiri uko kuanzia mijini hadi vijijiniSometimes ni kweli lakini kama resources ni chache eneo husika hili linakuwaje..haiwezi kuleta umaskini kwa watu wake kukosa elimu na maarifa ya kujikwamua?
Ingekuwa hivyo ungekuta imetokea hapa na pia mapato ya halmashauri zake zingekuwa zinafanya vizuri bahati mbaya kwako kila Takwimu zinaenda Kinyume na hisia zako.Mwanza ndio mkoa pekee Tanzania ambao utajiri uko kuanzia mijini hadi vijijini
Mijini kuna biashara nyingi sana ukienda vijijini kuna samaki na pamba na mifugo mingi na migodi kibao ya dhahabu
Unasema hawezi kuwa soko? Hanunui nguo ?huwa wanatembea uchi au? Hanunui chakula au chumvi ?Maskini na wasio na ujuzi hawawezi kuwa soko na hawawezi kupandisha GDP.Kwani kilichofanya GDP ya Nigeria kuwa kubwa sio watu wake maskini bali Mafuta ko usikariri.
... sasa mbona Mwanza haitoboi? Badala yake imebaki kichaka cha magamba kujitwalia kura za bwerere?Mwanza ndio mkoa pekee Tanzania ambao utajiri uko kuanzia mijini hadi vijijini
Mijini kuna biashara nyingi sana ukienda vijijini kuna samaki na pamba na mifugo mingi na migodi kibao ya dhahabu
tatizo kubwa sana hili kwa watu wa kanda ya ziwa..Birth rate yao ni kubwa sana hao watu wa kanda ya ziwa
Soko la mitumba sijui juice na vyakula halina impacts kubwa kwenye uchumiUnasema hawezi kuwa soko? Hanunui nguo ?huwa wanatembea uchi au? Hanunui chakula au chumvi ?
Vehitra sii.. kure mndu nekari iamba ng'ndo ku. Mbudhaa..[emoji28]Ligi kati ya Wachaga na Wahaya ianze rasmi sasa kwenye huu uzi kama kawaida yao..
Kidding
Watu wameenda field kufanya utafiti wewe unasema za kupika ,tupe za kwako basi mkuuTakwimu za nchi hii huwa siziamini hata kidogo maana most of them huwa ni za "kupika data".
Uongo mbona bakheresa ni bilionea namba Moja Afrika Mashariki kwa kuuza juice na vyakulaSoko la sijui juice na vyakula halina impacts kubwa kwenye uchumi
Mkuu hujamwelewa jamaa. Kuna mwingine alikua anamcrush nyuma huko kwann mwanza haiko top ten. Huyu ndo akamjibu top ten ya nn wakati amewekewa 7 tu? Kwahiyo hapo umemuonea. Wanalazimishaje ziwe 10 wakati 7 ndo zimekidhi?Acha kukurupuka wewe nimekuwekea source hapo na vigezo kama ni la saba sema usaidiwe
Siwezi kubishana,huyo Bahalesa anauzia Tzn pekee?Uongo mbona bakheresa ni bilionea namba Moja Afrika Mashariki kwa kuuza juice na vyakula
.....anakimbilia kwenye 10 ilihali benchmark ni 7, bure kabisa!!!Kuwa makini
Kataja mikoa Saba
Wewe umejuaje km kagera haipo top ten?
Kumbe Mwanza na madini yote na sangara wale nayo Hakuna kuti,chattle nayo haimo
Madini ni Geita,siyo Mwanza.Kumbe Mwanza na madini yote na sangara wale nayo Hakuna kuti,chattle nayo haimo
" kweli kila zama na kitabu chake"Bila Mwanza kuwemo kwenye top Takwimu za uongo hizo
Kwetu mimi Twilumba!Nyanda za juu kuna fursa kibao.
... ni mimi ndiye nilihoji kwanini Kagera (sio Mwanza) haipo top 10? Iko hivi; umepewa list ya top 7 things X1, X2, X3, X4, X5, X6, na X7; X1 being the top most.Mkuu hujamwelewa jamaa. Kuna mwingine alikua anamcrush nyuma huko kwann mwanza haiko top ten. Huyu ndo akamjibu top ten ya nn wakati amewekewa 7 tu? Kwahiyo hapo umemuonea. Wanalazimishaje ziwe 10 wakati 7 ndo zimekidhi?
.... hata Kagera? Mkoa uliobarikiwa kila aina ya mazao; evergreen everywhere unakosaje kuwa kwenye list ya 10 bora?