Wahaya wengi wanathamini kuajiriwa kuliko kufanya biashara ndio maana unaona mkazo wao kwenye 'kukusanya' vyeti uko juu sana.Mnazo ila mumeshindwa kuzitumia kwenye mazingira yenu na kuinua maisha yenu na ya Mkoa na nchi kiujumla.Kiifupi nyie ni chawa
Umewahi kufika hayo maeneo? Au ndio nyie mkiona maghorofa ndio mnaita mafanikio?uko sahihi .Iringa na njombe hamna kitu kule sijui wameziwekaje
Japan haina rasilimali?Swala sio watawala ni tu watanzania wengi vichwa vibovu kikiwemo chako
Japan haina raslimali yeyote na ni tajiri hasa sababu private sekta watu wana akili sana
Fikiria familia moja ya TOYOTA inajaza magari Tanzania nzima kila uendapo unakutana na TOYOTA
Wewe na familia yako cha maana mlichogundua na kuzalisha ni nini?
mzee mimi ni mtu wa nyanda za juu kusini, lakini nimeishi pia kaskazini na kanda ya ziwa. chukua mfano mmoja tu KAHAMA na Geita, sijaelewa ni kwanini mapato yanakuwa machache, labda watu wa maeneo hayo hawatoi kodi/kodi au mapato yao hayakusanywi. ila tukiongelea kwenye ground, huwezi k ulinganisha umasikini wa iringa au njombe na Geita na shinyanga. wasukuma kule wanalima balaa kuliko hata mahindi yetu hayo, na kuna biashara sana kwasababu ya machimbo ya dhahabu. i understand only one thing, kwamba wanagawanya kwa idadi ya watu wa eneo hilo, jambo ambalo halitaleta jibu lenye uhalisia sasa kwenye maisha ya kawaida, ndio maana nasema mahesabu ya kwenye makaratasi ni tofauti na maisha halisi kwenye ground. sikubaliani kwamba watu wa huko wamekuwa masikini wakati wanamiliki mifugo mingi sana na nyanda za juu mnamiliki mahindi na viazi tu. wao wanalima mpunga na wana makundi makubwa ya ng'ombe. au hayo ninyi wachumi huwa hampimi?Kumbuka hii kitu inahusisha GDP against population sasa hili la mzunguko wa pesa halina mashika hapa.Inawezekana watu wa mijini wakawa na pesa kuliko wengi wa vijijini.
Maisha ya watu wa Nyanda za juu hayategemei maeneo machache ya mijini kama ilivyo kanda ya ziwa.Kwa mfano halmashauri za Iringa na Mbeya unakuta zote zina mapato zaidi ya 3.5b wakati kwa Mikoa ya kanda ya ziwa ni miji ichache ina makusanyo makubwa wakati sehemu zingine hakuna kitu.
Hizi ni takwimu sahihi na mara kadhaa imeripotiwa kanda ya ziwa kuwa na idadi kubwa ya maskini kulinganisha na mnachozalisha na kasi kubwa ya kuzaana inayosababishwa na utamaduni uliopitwa na wakati.Sasa kukubali au kutokubali halinihusu mimi unaweza fanya utafiti wako uka refute huu wa NBS.
Someni document aliyoambatanisha, mtapata majibu yoteKuwa makini
Kataja mikoa Saba
Wewe umejuaje km kagera haipo top ten?
Mkuu nilishiriki katika zoezi hili na tulikuwa tunachukua data za miaka 3 mwaka 2017,2018,2019 .Takwimu za nchi hii huwa siziamini hata kidogo maana most of them huwa ni za "kupika data".
Mkuu Kuwa na madini sio hoja ndio maana unaona Tz tuna Madini but bado ni masikini,Madini hayo yanachimbwa na Makampuni Makubwa hamna Mtanzania hata moja ana miliki mgodi mkubwa kama wa North Mara.mzee mimi ni mtu wa nyanda za juu kusini, lakini nimeishi pia kaskazini na kanda ya ziwa. chukua mfano mmoja tu KAHAMA na Geita, sijaelewa ni kwanini mapato yanakuwa machache, labda watu wa maeneo hayo hawatoi kodi/kodi au mapato yao hayakusanywi. ila tukiongelea kwenye ground, huwezi k ulinganisha umasikini wa iringa au njombe na Geita na shinyanga. wasukuma kule wanalima balaa kuliko hata mahindi yetu hayo, na kuna biashara sana kwasababu ya machimbo ya dhahabu. i understand only one thing, kwamba wanagawanya kwa idadi ya watu wa eneo hilo, jambo ambalo halitaleta jibu lenye uhalisia sasa kwenye maisha ya kawaida, ndio maana nasema mahesabu ya kwenye makaratasi ni tofauti na maisha halisi kwenye ground. sikubaliani kwamba watu wa huko wamekuwa masikini wakati wanamiliki mifugo mingi sana na nyanda za juu mnamiliki mahindi na viazi tu. wao wanalima mpunga na wana makundi makubwa ya ng'ombe. au hayo ninyi wachumi huwa hampimi?
Mwanza!! Are you dreaming. Fikiria mkoa mzima, siyo Mwanza mjini.Bila Mwanza kuwemo kwenye top Takwimu za uongo hizo.
Unavyoongea utadhani Nyanda za Juu hakuna hiyo mifugo,sasa kama hakuna viwanda vya kusindika maziwa vilivyojengwa Iringa,Njombe na Tukuyu hivi ni vikibwa vidogo vidogo kila sehemu unadhani vinaagiza maziwa kutoka huko usukumani au?mzee mimi ni mtu wa nyanda za juu kusini, lakini nimeishi pia kaskazini na kanda ya ziwa. chukua mfano mmoja tu KAHAMA na Geita, sijaelewa ni kwanini mapato yanakuwa machache, labda watu wa maeneo hayo hawatoi kodi/kodi au mapato yao hayakusanywi. ila tukiongelea kwenye ground, huwezi k ulinganisha umasikini wa iringa au njombe na Geita na shinyanga. wasukuma kule wanalima balaa kuliko hata mahindi yetu hayo, na kuna biashara sana kwasababu ya machimbo ya dhahabu. i understand only one thing, kwamba wanagawanya kwa idadi ya watu wa eneo hilo, jambo ambalo halitaleta jibu lenye uhalisia sasa kwenye maisha ya kawaida, ndio maana nasema mahesabu ya kwenye makaratasi ni tofauti na maisha halisi kwenye ground. sikubaliani kwamba watu wa huko wamekuwa masikini wakati wanamiliki mifugo mingi sana na nyanda za juu mnamiliki mahindi na viazi tu. wao wanalima mpunga na wana makundi makubwa ya ng'ombe. au hayo ninyi wachumi huwa hampimi?
Tuko vizuri ✊Kwetu huko, tupo juu juu.
Yaani jamaa hao wanapenda kazi laini, nafikiri imechangiwa na historia yao ya siku hizo kua walikua wanakuwa na wapagazi kwa kazi zote nyumbani toka nchi jirani kwa kina waliowaita' washuti', sasa labda imepelekea kuwa wazito wa kuhangaika....ni maoni tu,na mie najaribu kuwa messenger tu kwa jinsi ninavyoona wala nisishambuliwe kwa mawe.....Wahaya wengi wanathamini kuajiriwa kuliko kufanya biashara ndio maana unaona mkazo wao kwenye 'kukusanya' vyeti uko juu sana.
Mentality hiyo imewadumaza sana, ndizi wanalima wao vijana wanatoka Tabora, Shinyanga, Singida hadi Dom wananunua kwa bei chee wqnaenda kupiga hela. Wao na elimu zao hata kusaka wapi soko zuri lipo hawawezi.
But with very low purchasing power!😭Birth rate ikiwa kubwa soko nalo linakuwa kubwa vile vile GDP inapanda
AmeeeeenTuko vizuri [emoji110]
Mkuu kweli kabisa usemayo Kagera hasa karagwe Kuna ufugaji na maziwa Sana tu na nyama sana Lita moja ya maziwa leo hii 500/600 chá ajabu Hakuna viwanda vya kusindika maziwa pamoja na ujuaji wote kma ilivyo iringa ambako Sasa Kuna usindikaji kibao nmeona mama mmoja mnyarwanda anajenga benaco pale ngara but karagwe noUnavyoongea utadhani Nyanda za Juu hakuna hiyo mifugo,sasa kama hakuna viwanda vya kusindika maziwa vilivyojengwa Iringa,Njombe na Tukuyu hivi ni vikibwa vidogo vidogo kila sehemu unadhani vinaagiza maziwa kutoka huko usukumani au?
Unashangaza sijui huko Kanda ya ziwa kuna kilimo gani cha kuzidi Nyanda za Juu ambako kilimo ni asili.
Wewe utakuwa umekulia huko Dar basi na unaendaga kusalimia bibi zako Highlands na wakwe zako huko Kanda ya ziwa sasa unajifanya kujua kuliko watafiti.
Kwa taarifa yako huko usukumani hakuna malisho ya kutosha mifugo imehamia Katavi,Rukwa, Songwe,Mbeya, Morogoro,Kigoma nk nk
Kama hata hujui Nyanda za Juu wanalima Mazao gani makuu hutakiwi kubisha kitu ambacho huna ufahamu nacho
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] wale wanaozaa kama panya?Wazee wa veto ya kumchagua rais siwaoni hapo Kanda ya ziwa, Bogus
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee jana nimepita shinyanga maswa bariadi to tarime ,hawa watu wanajua kuzaliana,Birth rate yao ni kubwa sana hao watu wa kanda ya ziwa
nyanda za juu kusini kuna mifugo gani mzee, zaidi ya nguruwe na misukule?Unavyoongea utadhani Nyanda za Juu hakuna hiyo mifugo,sasa kama hakuna viwanda vya kusindika maziwa vilivyojengwa Iringa,Njombe na Tukuyu hivi ni vikibwa vidogo vidogo kila sehemu unadhani vinaagiza maziwa kutoka huko usukumani au?
Unashangaza sijui huko Kanda ya ziwa kuna kilimo gani cha kuzidi Nyanda za Juu ambako kilimo ni asili.
Wewe utakuwa umekulia huko Dar basi na unaendaga kusalimia bibi zako Highlands na wakwe zako huko Kanda ya ziwa sasa unajifanya kujua kuliko watafiti.
Kwa taarifa yako huko usukumani hakuna malisho ya kutosha mifugo imehamia Katavi,Rukwa, Songwe,Mbeya, Morogoro,Kigoma nk nk
Kama hata hujui Nyanda za Juu wanalima Mazao gani makuu hutakiwi kubisha kitu ambacho huna ufahamu nacho