Rehma na amani ziwafikie Muhammad na Yesu Kristo

Ivi ukalibu ulioko baina ya MUNGU+MUHAMMAD+YESU+MARIA+ISLAEL+SAUDIA palikuwa panahitajika dua ya mtenda dhambi kama mimi ili kuweka Amani na Rehma katika huo ukalibu wao?.
 
Soma YOHANA 10:16

Ujifunze acha kutukuza tamaduni za waarabu mtumish

YESU KRISTO anakupenda sana
 

Attachments

  • Screenshot_20241220-221210.png
    183.1 KB · Views: 4

Yesu haitaji rehma na amani kutoka kwa mwanadamu. Labda huyo aliyeko huko tusipopatamani kufika!
 
[emoji28]
Sio unacheka jaribu kufikiria hata kwa akili yako ndogo.

Juzi nimeona waumini wa dini kadhaa zikiombea amani saudia na wengine ISLAEL ivi ni kweli akili zetu zina akili.
Yaani mimi wa kumuombea mtoto wa mama samia ela kwa mama ake kweli?
 
Yesu haitaji rehma na amani kutoka kwa mwanadamu. Labda huyo aliyeko huko tusipopatamani kufika!
Sio kweli. Kuna dua huwa mnamuombea yesu na mama yake baraka jaribu kuuzulia kanisani. Pia hata yesu mwenyewe aliomba tumuombee kwa baba yake juu ya kile kikombe
 
Mwenye dhambi huombewa msamaha si rehma
Sasa Muhhammadi namuombeaje msamaha kutoka kwa Mungu wakati simu ya kiama ile wakati wa jua kali Muhammad yeye anakaa kivulini na Mungu ?
 
Ewaaa ni Mungu mwenyewe katuambia tumtakie rehma, na yeye Hadi mitume wengine tunawatakia rehma Hadi masahaba nao wanatakiwa rehma
Ivi sisi na mitume nani alipaswa kumuombea mwenzie kwa Mungu? Nani aliye kalibu zaidi na Mungu
 
Yesu haombewi amani.
yeye ndiye mtoa amani.

Yohana (Joh) 14:27
Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo.
Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.
Peace I leave with you, my peace I give unto you: not as the world giveth, give I unto you. Let not your heart be troubled, neither let it be afraid.
 
Yaani niache kujiombea mimi mwenyewe Rehma niache kuombea kizazi changu nianze kuombea na mitume Rehma hayo ni matumizi mabaya ya kuomba.

Mfano musa alikuwa anaongea na Mungu moja kwa moja sasa ashindwe kumuomba Mungu mwenyewe nimuombee mimi, Muhammad alikuwa analetewa wajihi na Mungu moja kwa moja si ndio palikuwa pahala pa kuomba hapo nije niombe mimi na pombe yangu kichwani?
 
Tatizo lako huendi kanisani.

Kanisani tunaanza kuwaombea wana wa Israel tunafata Maria tunamalizia na yesu mwenyewe.

Pia hatuishii hapo na bado tunafanya happy birth day ya (YESU, MARIA, NA MUHHAMMADI (inaitwa mauridi.

Yaani akili zetu sijui zimekwama wapi?
 
Ivi sisi na mitume nani alipaswa kumuombea mwenzie kwa Mungu? Nani aliye kalibu zaidi na Mungu
Yeye kashatuombea Kwa Mungu Alituombea Mungu asishushe Tena gharika dhidi yetu Kama ilivyokuwa Kwa MANABII wa mwanzo, hivyo ukitenda dhambi unasubiriwa mpaka siku ya mwisho.
Alituombea tusamehewe dhambi muda wote mpaka siku ya umauti ukiweza tunaomba mshamaha.

Kumbuka mtume ni binadamu Mungu kafanya hivyo ili kumpunguza ego asijekujiona yeye ni Mkubwa na kujawa na kiburi akati tofauti yake na sisi ni cheo TU Cha utume.

Ndio maana ishu ya Yesu itamgarimu maswali siku ya mwisho Kwa kua wafuasi wake walimwita Mungu. Hivyo itambidi ajieleze mbele ya Mola wake kiushahidi na kuwakana waliomwita hivyo kwa ushahidi wa maandiko
 
Yeye aeleze mbele ya Mola wake kiushahidi na kuwakana waliomwita hivyo kwa ushahidi wa maandiko
Kwani Mungu si anayajua hata yaliyo mioyoni mwetu? Kwanini atataka na ushahidi?
 
ndio kanisa lako linavyofanya ?
linaitwaje ?
mimi umenijulia wapi hadi unisemee wewe?
 
Soma YOHANA 10:16

Ujifunze acha kutukuza tamaduni za waarabu mtumish

YESU KRISTO anakupenda sana

Unaweza ukaniambia Hao aliowasema Bwana Yesu kwenye hiyo John 10:16 ni Nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…