escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Lazima muwe bize nae maana inasemekana ndie aliyemteka Mwamedi akamvalisha kanga kipindi kile.Kwa sasa tuko bize na hamza wa salenda aliyetuulia polisi wetu utopolo mtuache kidogo na hizo takwimu zenu za kunjunga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa sasa tuko bize na hamza wa salenda aliyetuulia polisi wetu utopolo mtuache kidogo na hizo takwimu zenu za kunjunga
Sawa ni mapito tu ya maisha hata nyie bwana wenu GSM yanaweza kumkuta vile vile,, ila kwa leo tuko bize na hamza wa salenda so mtuache kidogo na hizo batiki zenu,, umeelewa wewe manara fc..Lazima muwe bize nae maana inasemekana ndie aliyemteka Mwamedi akamvalisha kanga kipindi kile.
Biashara ya jezi iko hivyo duniani kote. Ukishapokea mpunga wako kwa msimu husika, hizi zitokanazo na mauzo zinakuwa bonus tu.Ziuzwe tu...
Jezi 35000 yanga inapata 1300 kwa kila tshirt
Una chuki sana mo appleSawa ni mapito tu ya maisha hata nyie bwana wenu GSM yanaweza kumkuta vile vile,, ila kwa leo tuko bize na hamza wa salenda so mtuache kidogo na hizo batiki zenu,, umeelewa wewe manara fc..
Nyie bwana wenu kanjibhai hadi uwanja wa timu kauita jina lakeSawa ni mapito tu ya maisha hata nyie bwana wenu GSM yanaweza kumkuta vile vile,, ila kwa leo tuko bize na hamza wa salenda so mtuache kidogo na hizo batiki zenu,, umeelewa wewe manara fc..
Alikuwa nazo alivoona za yanga amezirudisha china coz ni mbayaHivi Fredy Vunjabei hajaleta jezi mpya za Simba?
Sawa godoro chapa GSMUna chuki sana mo apple
35000 na bado wananchi wanazinunua kama peremende!! Huku niliko, jezi za msimu uliopita za mbumbumbu fc zinauzwa buku tatu tatu tu!! Na bado hazinunuliki!!Habari za hivi punde ni kwamba jezi mpya zaidi ya Milioni 1 za klabu ya Yanga zimenunuliwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuzinduliwa kwake.
Eng. Hersi amethibitisha rekodi hii iliyowekwa na timu ya wananchi na kushangazwa na mapokeo makubwa ya jezi hizo mpya.
Jezi hizo zinauzwa Tshs. 28,000/= kwa bei ya jumla na Tshs. 35,000/= kwa bei ya rejareja.
Hii ndio maana halisi ya timu ya wananchi, wawekezaji ni wananchi.
Nyie bwana wenu GSM anamleta mtu yoyote anaemtaka kwa sasa,, najua hampendi haji kuja pale ila ndo mtafanyaje sasa na bwana wenu gharib kashaamuaNyie bwana wenu kanjibhai hadi uwanja wa timu kauita jina lake
jezi zao nyingine zmeshageuka madekio mda mrefu sana.35000 na bado wananchi wanazinunua kama peremende!! Huku niliko, jezi za msimu uliopita za mbumbumbu fc zinauzwa buku tatu tatu tu!! Na bado hazinunuliki!!
Sijui tatizo ni nini!!!
mlitufundisha wenyewe kwamba tajiri hanuniwi hahahNyie bwana wenu GSM anamleta mtu yoyote anaemtaka kwa sasa,, najua hampendi haji kuja pale ila ndo mtafanyaje sasa na bwana wenu gharib kashaamua
Lk sio kuleta mamluki kama haji,, kadi yake simba bado anayo mjue,, mfano leo hii kweli tajiri anuniwi mo amlete maulid kitenge pale simba si tutamnunia siku hiyo hiyo japo tajiri anuniwi, na kitenge ni mtangazaji tu hajawahi kuajiriwa na yanga official, ije kuwa kwa manara simba kindaki ndakimlitufundisha wenyewe kwamba tajiri hanuniwi hahah