REKODI: Jezi mpya za Yanga zaidi ya Milioni 1 zanunuliwa ndani ya masaa 6 tangu zilipozinduliwa

REKODI: Jezi mpya za Yanga zaidi ya Milioni 1 zanunuliwa ndani ya masaa 6 tangu zilipozinduliwa

Mi mwenyewe sikutaka nipitwe[emoji7][emoji7]...pendeza sana Bugatti [emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20210825-153353-1.jpg
 
Lk sio kuleta mamluki kama haji,, kadi yake simba bado anayo mjue,, mfano leo hii kweli tajiri anuniwi mo amlete maulid kitenge pale simba si tutamnunia siku hiyo hiyo japo tajiri anuniwi, na kitenge ni mtangazaji tu hajawahi kuajiriwa na yanga official, ije kuwa kwa manara simba kindaki ndaki
Mumnunie kwa ubavu gani mlonao? mtampamba kama kawaida yenu.
 
Habari za hivi punde ni kwamba jezi mpya zaidi ya Milioni 1 za klabu ya Yanga zimenunuliwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuzinduliwa kwake.

Eng. Hersi amethibitisha rekodi hii iliyowekwa na timu ya wananchi na kushangazwa na mapokeo makubwa ya jezi hizo mpya.

Jezi hizo zinauzwa Tshs. 28,000/= kwa bei ya jumla na Tshs. 35,000/= kwa bei ya rejareja.

Hii ndio maana halisi ya timu ya wananchi, wawekezaji ni wananchi.

“Ukishakuwa ni Yanga hata uwe na PHD linapokuja swala la Yanga wote akili zao huwa zinakuwa sawa na kuli,huwa hawana akili na Yanga yao” Haji Sunday Manara Msemaji wa Yanga akihojiwa na Salama Jabri.
 
Habari za hivi punde ni kwamba jezi mpya zaidi ya Milioni 1 za klabu ya Yanga zimenunuliwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuzinduliwa kwake.

Eng. Hersi amethibitisha rekodi hii iliyowekwa na timu ya wananchi na kushangazwa na mapokeo makubwa ya jezi hizo mpya.

Jezi hizo zinauzwa Tshs. 28,000/= kwa bei ya jumla na Tshs. 35,000/= kwa bei ya rejareja.

Hii ndio maana halisi ya timu ya wananchi, wawekezaji ni wananchi.
Sisi hatuna mda huo Mzee baba Hamza ndio habari ya mjini.
 
Back
Top Bottom