REKODI: Jezi mpya za Yanga zaidi ya Milioni 1 zanunuliwa ndani ya masaa 6 tangu zilipozinduliwa


Sawa umeumia?
 
Manara ana DNA za Yanga wewee
 
Hivi kwa akili yako wanachi wangeambiwa waamue kuhusu manara kuja yanga wangekubali? popote pale mwenye hela ndio anaamua
 
Akija Msukule wa Mwamedi, Okwi Boban Sunzu atapinga
Ni faida kwa GSM, sisi mashabiki raha yetu ni matokeo bora uwanjani zaidi ya hapo hakuna, hatulipwi mshahara wala hatupati chochote kwenye club zaidi ya kutaka furaha ambayo hupatikana uwanjani
 
We ulikuwa unamjua Manara kabla ajawa msemaji wa Simba?!umejuaje kama alikuwa Simba hapo kabla?!

Baba ake mzazi mzee Sunday Manara alishasema Haji ni kijana wetu wa Yanga na tumemlea wenyewe wewe unapingana na baba ake mzazi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…