REKODI: Jezi mpya za Yanga zaidi ya Milioni 1 zanunuliwa ndani ya masaa 6 tangu zilipozinduliwa

Mi yanga lia Lia ....lakin kuamin tumeuza jezi milioni moja sio kweli ...pic miliona moja sio mchezo!! Ukizingatia sis tunategemea local market pekee ..... just imagine Liverpool timu ambayo inauza worldwide jezi zake msimu wa mwaka Jana ndo waliongoza kuuza jezi kwa ngazi ya vilabu ulimwenguni ndo waliuza pic milioni 1...Sasa sis wananchi ndani ya siku mbili tuuze nakala milioni!?...sio kweli ...ingkuwa hivyo makampumi makubwa like Nike na Adidas wangkuwa wanapishana korido za jangwani pale kugombea tender ya kutengneza jezi zetu
 
Kolo kama kolo kwenye ubora wako.
 
Shida hutaki kufikilisha akili yako......na hiyo comment yako ya tusi ...inaonyesha kias gani huwez kujenga hoja .....
 
Masikini zake mbwembwe ili aonekane nae yumo! SIMBA ilishatoka huko kitambo! Tunajua Manara kaenda utopolo kwa makubaliano ya pande zote mbili lengo kuwa boost warudi kwenye ramani ya soka!

Ukizingatia waswahili ndio mambo wanayopenda kusikia basi hakuna tena kuhoji kuhusu makombe,kama hivi mnaletewa sijui mwanamuziki gani basi mnafurahiii wenyewe..tukija kwenye ligi mnaanza kulalamika.
 
Uzuri jezi ya yanga inauzwa 35000 Club ya yanga inajipatia buku mia tatu kila jezi(1300).
 
Yanga wanapata 1300/ shillings tu..kati ya kila mauzo ya jezi moja.


Aibu nimeona Mimi
 
Boss Mo katufukuzia Dr. H. Manara kahamua kumpa mkataba Kigogo2014!
 
Tatizo Pesa zote za mauzo zinaenda GSM. Yanga kama club haifaidiki ipasavyo
 

Uzi una mazombi kama yote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…