Religion is the perfect scam. They sell an invisible product that you can only test and verify after you die

 
 
 
Kwenye Imani ni either uamini au usiamini.
Kama haumini wewe ni atheist au pagan.
 
KIKAO CHA MWISHO TULIKUBALIANA WANAUME HATUTAJIITA MAHANDSOME ISIPOKUA TUTAITWA HIVYO,,,NA UHANDSOME NI KUWA NA MICHUZI MINGI TU
 
Si kwamba waafrika hawakumjua Mungu kabla ya ujio wa dini.
Wao wanahukumiwa kwa sheria za asili yaani do or not do.
Wanahesabiwa haki kwa sababu walikuwa gizani
 
God did not create man with the original sin,man was perfect when he was created by God.See Genesis 1:31

"31 And God saw every thing that He had made, and, behold, it was very good. And the evening and the morning were the sixth day.

That God created man with the original sin is Satan's lie,it is Satan who deceived Eve and Adam into committing the original sin.

See Genesis 3:1-7

1 Now the serpent was more subtil than any beast of the field which the LORD God had made. And He said unto the woman, Yea, hath God said, Ye shall not eat of every tree of the garden?
Genesis 3:1

2 And the woman said unto the serpent, We may eat of the fruit of the trees of the garden:
Genesis 3:2

3 But of the fruit of the tree which is in the midst of the garden, God hath said, Ye shall not eat of it, neither shall ye touch it, lest ye die.
Genesis 3:3

4 And the serpent said unto the woman, Ye shall not surely die:
Genesis 3:4

5 For God doth know that in the day ye eat thereof, then your eyes shall be opened, and ye shall be as gods, knowing good and evil.
Genesis 3:5

6 And when the woman saw that the tree was good for food, and that it was pleasant to the eyes, and a tree to be desired to make one wise, she took of the fruit thereof, and did eat, and gave also unto her husband with her; and He did eat.
Genesis 3:6

7 And the eyes of them both were opened, and they knew that they were naked; and they sewed fig leaves together, and made themselves aprons.
Genesis 3:7

Please do not cheat the ignorant and unsuspecting.
 

Wakiwa wazima wanakiburi na kutukana uwezo science tena huwa wanadai science inalengo la kumpinga Mungu wao.

waache tu, Hospital watakuja tu
 
Ndharia ya opium mwasisi wa falsafa hii alishindwa kuithibitisha.
Alitazama negative side ya dini ili isilete madhara kwenye mfumo wa ukomunist.
Ukomunist mtawala ndie mmiliki wa nchi kama alivyo Panki.
Wacomunist wanapinga dini kwa sababu dini inawaweka watu huru, inapinga watawaliwa kutendewa mabaya na watawala.
Hofu kuu ya kina Karl Marx ni kuogopa mawazo kinzani.
 
Dah we Jamaa πŸ˜‚πŸ˜€πŸ€£πŸ€£
 
Cha kukusaidia tu ili upate ukweli wa mambo anza kusoma vitabu vya hzo din zote kisha mwsho utakuja jua ukweli umekaaje vinginevyo tutajaadili mengi lakin yote yatabaki kuwa ni dhana tu na huwez pata jibu sahihi
MANENO YA MTUME KUHUSU KIFO NA KITAKACHO ENDELEA BAADA YA KIFO

MUHAMMAD ANASEMAJE?

Kurani 39:30 inasema kwamba Muhammad, wafuasi wake na watu wengine wote watakufa siku moja.

SWALI--Hivi muhamadi kafa au bado? Ikiwa muhmad kafa maana yake yeye na wafuasi wake na watu wengne wote washakufa siku ambayo yeye alikufa kama quran unavyo sema kwamba yeye na wafuasi wake watakufa siku siku moja(yawezekana hapa tulipo sisi tushakufa mda Sana)πŸ˜‚πŸ˜‚

Nini kitatokea baada ya hapo Muhammad hana habari! Hana wazo hata kidogo.πŸ˜…

Quran 46:9. Muhammad anasema, "Sijui kitakachonipata mimi wala nyinyi wafuasi wangu. Mimi ni Mwonyaji tu na nasema yale yanayoteremshwa."
---------------------
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Muhamadi
Hatambui
Hafahamu
Haelewi
Hajui
Hana hata fununu
Hana uwakika
Hana taarifa
Kua nini kitamtokea baada ya kufa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mabikra 70..mito ya pombe..vyakula vitamu vya peponi au kwenda motoni hajui kama atakutana navyo au laa yeye alikua akisema tu alio kua akitumwa aseme hajui kama vipo au havip na hajui nini kitaendelea baada ya watu kufa πŸ˜‚πŸ˜‚

Kipenzi cha mungu wenu hakijui kua kitaenda peponi au motoni yani sio yeye tu mpaka wafuasi wake magaid wake hawajui wapi wataenda au nini kitaendelea baada ya wao kufa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ninyi waamini dini ndio huwa mnapovu pale ambapo mtu akiwasilisha maoni yake ya kwamba haamini dini na Mungu.

Mna anza kumshambulia kwa vile haamini mnacho kiamini nyie.
Jaribu kuchunguza vizuri, asilimia kubwa yenu huwa mnadharau huwa hamchukulii hili suala kama ni kutofautiana tu mitazamo bali moja kwa moja huchukulia wenye kuamini dini na Mungu ni ujinga tu ndio unaowafanya kuamini.
 
Communism na dini ni pande mbili za shilingi,ni kitu kile kile

Vyote ni hoax
 
God did not create man with the original sin,man was perfect when he was created by God.That God created man with the original sin is Satan's lie,it is Satan who deceived Eve into committing the original sin.
Who created this world in which sinning is possible?"
 
Dini Ina pande mbili uwe kwa Mungu au shetani.
Mizimu ni upande wa shetani.
So mungu wako ni shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…