Religion is the perfect scam. They sell an invisible product that you can only test and verify after you die

Wachache watakuelewa
 
Tunaanza sasa darasani huruma kuhusu dini(religion)


Kwa maana ya kwao is the belief in God or gods and the activities connected with this belief



Kwahiyo mtoa post jiheshimu 😅😅



Clark cian
 
Msihalalishe vitu vya kijinga.Kuwa zamani haifanyi tabia ovu ya kuoa vitoto kuwa sawa,it was evil then,and still evil and immoral today.Kumbuka kwamba Mungu habadiliki,ni yeye yule jana,leo na milele.
 
Hapo bado miungu ya wahindi,budhaism,Wachina,wakorea,wajapan,wavidunda yaani kila mtu na dini yake aisee
 

Wafia dini watapinga[emoji28]
 
View attachment 2753101
Wakiwa wazima wanakiburi na kutukana uwezo science tena huwa wanadai science inalengo la kumpinga Mungu wao.

waache tu, Hospital watakuja tu

Kipindi social medias kama fbk zinaanza,wapumbafu wa dini walizikemea sana eti ni kazi ya shetani,walizipinga kweli kweli,leo hii wamejazana huko wakihubiri[emoji28][emoji28] upuuzi wao.
 

Kwamba dini inawaweka huru wafuasi wake[emoji28][emoji28] kichekesho cha mwaka.
 

Ila kwa mudi tulipigwa asee,bora Yesu Kristo.
 
Kipindi social medias kama fbk zinaanza,wapumbafu wa dini walizikemea sana eti ni kazi ya shetani,walizipinga kweli kweli,leo hii wamejazana huko wakihubiri[emoji28][emoji28] upuuzi wao.
Bila research za baitul ilmu huko Baghdad wakati wa utawala wa khalifa wa kiislamu aliye sponsor great minds in mathematics, medicine, astronomy n.k
Leo usinge kuwa na social media sababu algorithm ndiko iliko gunduliwa .
Kama ni mashkolo mageni kwenu SI ktk Islamic civilization
 
If you want knowledge about religion try to search for one professor "Patrick Lumumba " of Kenya. Just open U-tube

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Lumumba ni professor wa Sheria so as any lawyer anaweza kusuka urgent mwizi kuwa huru Kwa mujibu Sheria.
Nilidhani utaniambia astrophysics kama Hawking au Kalam.
Huyo Pan-Africanist hana imperical evidence ya kutakaa Mungu .
Yes ,kama mwanasheria anaweza suka uongo Kwa ukweli na ndio kazi Yao/yake.
 
Na wasiozikwa kwenye makaburi huwa wanaulizwa wapi?

Wengine wanachomwa moto tu majivu ndio yanahifadhiwa, kwahiyo majivu ndio yanaulizwa?

Wanaosema religion is Mankind opium nakubaliana nao.
unaposikia israel mtoa roho.unajua roho ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…