Religion is the perfect scam. They sell an invisible product that you can only test and verify after you die

Religion is the perfect scam. They sell an invisible product that you can only test and verify after you die

Religion is a fictional identity.

Religion is a mental slavery.

Religion is a set of dogmatic rules manipulating weak minds.

Religion is a practice of training the mind to ignore facts, evidences and logic.

Religion is a programming system for collecting money and controlling the behavior of People who are vulnerable to the concept of God.

Religion is the world's most successful pyramid Scam, Every member recruits their own kids.
Wachache watakuelewa
 
Tunaanza sasa darasani huruma kuhusu dini(religion)


Kwa maana ya kwao is the belief in God or gods and the activities connected with this belief



Kwahiyo mtoa post jiheshimu 😅😅



Clark cian
 
Mtoto wa miaka 9 anaingiliwaje sasa.
Kuoa na kuingilia ni vitu tofaut.
Kabla ya sheria watu walio hata mtoto wa miaka 2 akiwa chini ya uangalizi wa wazazi wake hadi umri wa kuingiliwa ukifika,kumbuka zamani wanawake walitunza bikira zao kwa ajili ya ndoa,huna unakatwa kichwa.
Msihalalishe vitu vya kijinga.Kuwa zamani haifanyi tabia ovu ya kuoa vitoto kuwa sawa,it was evil then,and still evil and immoral today.Kumbuka kwamba Mungu habadiliki,ni yeye yule jana,leo na milele.
 
Hapo bado miungu ya wahindi,budhaism,Wachina,wakorea,wajapan,wavidunda yaani kila mtu na dini yake aisee
 
Religion is a fictional identity.

Religion is a mental slavery.

Religion is a set of dogmatic rules manipulating weak minds.

Religion is a practice of training the mind to ignore facts, evidences and logic.

Religion is a programming system for collecting money and controlling the behavior of People who are vulnerable to the concept of God.

Religion is the world's most successful pyramid Scam, Every member recruits their own kids.

Wafia dini watapinga[emoji28]
 
View attachment 2753101
Wakiwa wazima wanakiburi na kutukana uwezo science tena huwa wanadai science inalengo la kumpinga Mungu wao.

waache tu, Hospital watakuja tu

Kipindi social medias kama fbk zinaanza,wapumbafu wa dini walizikemea sana eti ni kazi ya shetani,walizipinga kweli kweli,leo hii wamejazana huko wakihubiri[emoji28][emoji28] upuuzi wao.
 
Ndharia ya opium mwasisi wa falsafa hii alishindwa kuithibitisha.
Alitazama negative side ya dini ili isilete madhara kwenye mfumo wa ukomunist.
Ukomunist mtawala ndie mmiliki wa nchi kama alivyo Panki.
Wacomunist wanapinga dini kwa sababu dini inawaweka watu huru, inapinga watawaliwa kutendewa mabaya na watawala.
Hofu kuu ya kina Karl Marx ni kuogopa mawazo kinzani.

Kwamba dini inawaweka huru wafuasi wake[emoji28][emoji28] kichekesho cha mwaka.
 
MANENO YA MTUME KUHUSU KIFO NA KITAKACHO ENDELEA BAADA YA KIFO

MUHAMMAD ANASEMAJE?

Kurani 39:30 inasema kwamba Muhammad, wafuasi wake na watu wengine wote watakufa siku moja.

SWALI--Hivi muhamadi kafa au bado? Ikiwa muhmad kafa maana yake yeye na wafuasi wake na watu wengne wote washakufa siku ambayo yeye alikufa kama quran unavyo sema kwamba yeye na wafuasi wake watakufa siku siku moja(yawezekana hapa tulipo sisi tushakufa mda Sana)[emoji23][emoji23]

Nini kitatokea baada ya hapo Muhammad hana habari! Hana wazo hata kidogo.[emoji28]

Quran 46:9. Muhammad anasema, "Sijui kitakachonipata mimi wala nyinyi wafuasi wangu. Mimi ni Mwonyaji tu na nasema yale yanayoteremshwa."
---------------------
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muhamadi
Hatambui
Hafahamu
Haelewi
Hajui
Hana hata fununu
Hana uwakika
Hana taarifa
Kua nini kitamtokea baada ya kufa [emoji23][emoji23][emoji23]

Mabikra 70..mito ya pombe..vyakula vitamu vya peponi au kwenda motoni hajui kama atakutana navyo au laa yeye alikua akisema tu alio kua akitumwa aseme hajui kama vipo au havip na hajui nini kitaendelea baada ya watu kufa [emoji23][emoji23]

Kipenzi cha mungu wenu hakijui kua kitaenda peponi au motoni yani sio yeye tu mpaka wafuasi wake magaid wake hawajui wapi wataenda au nini kitaendelea baada ya wao kufa [emoji23][emoji23]

Ila kwa mudi tulipigwa asee,bora Yesu Kristo.
 
Kipindi social medias kama fbk zinaanza,wapumbafu wa dini walizikemea sana eti ni kazi ya shetani,walizipinga kweli kweli,leo hii wamejazana huko wakihubiri[emoji28][emoji28] upuuzi wao.
Bila research za baitul ilmu huko Baghdad wakati wa utawala wa khalifa wa kiislamu aliye sponsor great minds in mathematics, medicine, astronomy n.k
Leo usinge kuwa na social media sababu algorithm ndiko iliko gunduliwa .
Kama ni mashkolo mageni kwenu SI ktk Islamic civilization
 
If you want knowledge about religion try to search for one professor "Patrick Lumumba " of Kenya. Just open U-tube

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Lumumba ni professor wa Sheria so as any lawyer anaweza kusuka urgent mwizi kuwa huru Kwa mujibu Sheria.
Nilidhani utaniambia astrophysics kama Hawking au Kalam.
Huyo Pan-Africanist hana imperical evidence ya kutakaa Mungu .
Yes ,kama mwanasheria anaweza suka uongo Kwa ukweli na ndio kazi Yao/yake.
 
Na wasiozikwa kwenye makaburi huwa wanaulizwa wapi?

Wengine wanachomwa moto tu majivu ndio yanahifadhiwa, kwahiyo majivu ndio yanaulizwa?

Wanaosema religion is Mankind opium nakubaliana nao.
unaposikia israel mtoa roho.unajua roho ni nini?
 
Back
Top Bottom