Religion is the perfect scam. They sell an invisible product that you can only test and verify after you die

Na wewe unaamini Israel ndio mtowa roho?

Kasimame kwenye highway weka godoro lala hapo ndio utajuwa Fuso pia ni Israel.
kwa hyo unataka kusema kila anayegongwa na gari anakufa?wangapi wanakufa wakiwa wamelala?
 
Paroko anadai tumchangie finishing Nyumba ya ma Padre
 
Kila mtu ana mtazamo wake na uzoefu wake kwenye masuala ya Dini, wapo Waafrika wanaomini , wapo Wazungu, Waarabu, Wahindi Wachina.nk
nk ambao pia wanaamini na Kutokuamini kama dini ni scam or not, again hiyo inategemea na mtazamo na uzoefu wa mtu Binafsi.....
Hakuna namna ya kuhakiki au ya kujaribu kuthibitisha dini baada ya kifo, walakin, twaweza kutumia njia tofauti za kuelewa na kui_appreciate katika maisha yetu haya na haya ma_Dini yakumbambikizwa na yale tunayojidai kujua!

Kaa kwa Amani.
 
Daah hasa usipoamini ina maana Dunia ilijitengeneza yenyewe na viumbe vyote vilivyopo Duniani hiki kitu hapana aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…