TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Cha ajabu kila mwaka kuna kijana ni Tanzania One mwenye akili kama yeye au zaidi

Hii ku-generalize kwamba ni top human being throughout miaka yote hii sijui labda umetumia measurement gani hasa?
Upo sahihi

Samahani Kama unekwazika
 
Hii nchi vijana wengi wa familia maskini wanajituma sana ila hawafanikiwi wanazunguka duara na kufa kwa frusttation .. why?
arrogance angekua mtu wa kujishusha angefika mbali mi nilisoma na watu wa type ya jamaa walikua wanajifanya wao wana akili sana lakini dunia haitaki watu arrogant ukijishusha watu wanakusaidia jamaa anaonekana alikua ana akili ya darasani ila utoto mwingi
 
Mgambo ya kanole
 
Cha ajabu kila mwaka kuna kijana ni Tanzania One mwenye akili kama yeye au zaidi

Hii ku-generalize kwamba ni top human being throughout miaka yote hii sijui labda umetumia measurement gani hasa?
Ubora wa mitihani (na siyo ugumu) unatofautiana kila mwaka. Kila mwaka wanafaulu, lakini kati ya waliofaulu kuna wanao(aliye)faulu zaidi.
Aliyefaulu zaidi ili kujua sifa zake za ziada ni lazima alinganishwe na waliofaulu zaidi miaka iliyotangulia.
Records zitaamua.

Hata mkipata wote A zote, lazima zitakuwa na uzani tofauti
 
BABA SWALEHE ANDIKA KISWAHILI TU.


ENGLISH YAKO INANIVUNJA MBAVU...
 
Hakuna kitu kibaya kama hiki kinachoitwa uhuru wa maoni.
Huyo boya nimeona comment yake nikatamani kumtukana, ila ndio hivyo nikaheshimu huo uhuru wa maoni.
Na hapo utakuta ana degree
Hii nchi ngumu sana, mtu hata hajui kuwa 98% inaweza kupatikana kwenye 60% ya kitu kingine
Ila nyinyi madogo mbona vilaza sana, muache kukurupuka, hujui kama 98% ni 58.8/60 ? Sasa shida iko wapi hapo ?

Hiyo 60 yako inawekwa kwenye mia kisha 40 kadhalika, mwisho wa siku ukijumlisha unarudi mule mule kwenye jumla ya 100.
 
elimu ya sasa ipo katika mazingira mepesi sana ukilinganisha na miaka ya 2012 kurudi nyuma...
maana hapo ndipo elimu na mitaala ya elimu ilianza kuchezewa hovyo hadi sasa...
so huwezi linganisha T.O wa mwaka 2000 na wa sasa 2019 ama 2020...
 
Dah! I'm shocked! I know the guy, tulipiga wote Tosa Boys lakini alikuwa amenitangulia darasa, nakumbuka the day alipotangazwa kuwa T.O wote tulikuwa shocked pale kiumeni kwa sababu kwanza alikuwa siyo mtu wa kuonekana class wala mazingira ya shule, muda mwingi nasikia alikuwa akienda kujichimbia Mzumbe, those days alikuwa na afro flani hivi la kibabe kichwani, kila mtu akawa anashangaa imekuwaje jamaa atoboe kuwa TO wakati class anadoji kinyama?

Alikuwa mtu wa low profile mno, akiwepo skuli mchana anapiga mbonji usiku anatoboa akipiga msuli. That night alipotangazwa kuwa TO, our Headmaster by then (Charwe- Rest in Peace), alikuwa excited mno, akatutangazia huku akiwa mitungi kwamba tutapiga kitu cha nyali (wali) wiki nzima mfululizo kusherekea mafanikio ya Mwamba Elias! So sad. His legacy will live!
 
elimu ya sasa ipo katika mazingira mepesi sana ukilinganisha na miaka ya 2012 kurudi nyuma...
maana hapo ndipo elimu na mitaala ya elimu ilianza kuchezewa hovyo hadi sasa...
so huwezi linganisha T.O wa mwaka 2000 na wa sasa 2019 ama 2020...
NAUNGA MKONO HOJA. SASA HIVI KUFELI NI KUJITAKIA TU. ENZI ZETU 2000 NDIO KULIKUA NA VIPANGA HATARI.
 
Upo sahihi Sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…