TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

Upo sahihi mkuu.
 
impact yake ni kumbwa kuliko others TO labla TO mwingine ambaye ana impacts ni @joelnanauka.

kitu pekee alichokifanya ni kufanya maelfu ya watanzania wenye ndoto ya kusoma physics na kufanya vizuri kutimiza ndoto yao.

hivyo ilo tu linamfanya awe awe tofauti , ukiachana na record ya matokeo yake ambayo bado haijavunjwa.

pili u genious wake upo kwenye nini yeye alifahamu ...... Elimu na kuhamisha knowledge, na alifanikiwa sana...

kama ujuavyo elimu ni huduma na ualimu ni wito, na si ualimu tu bali wenye matokeo chanya.

Tunajifunia wahandisi, madactari, na wengine wanasayansi kutoka kwenye mikono yake ikumbukwe jamaa hakuwai kuajiriwa nikiwepo mimi mwenyewe.

Ameandika vitabu vya physics vitakavyo kuwa vikitumika vizazi na vizazi....siwezi sema ana umri mkubwa labla chini ya 40hv, but tunajivunia maisha ya mwamba
 
Cha ajabu kila mwaka kuna kijana ni Tanzania One mwenye akili kama yeye au zaidi

Hii ku-generalize kwamba ni top human being throughout miaka yote hii sijui labda umetumia measurement gani hasa?
Sasa kama hizo akili umekaa nazo nyumbani kwenu jamii itakujua vipi kama una akili zaidi? Kihombo katunga vitabu, kafundisha vijana na ndio wanashuhudia kuwa alikuwa na akili zaidi.
 
Huyo ni wivu tu unamsumbua na pia yawezekana amesoma masomo ya kukariri majibu kama historia. Physics hususan ya A- level huwezi kutoboa kwa kukariri.
 
elimu ya sasa ipo katika mazingira mepesi sana ukilinganisha na miaka ya 2012 kurudi nyuma...
maana hapo ndipo elimu na mitaala ya elimu ilianza kuchezewa hovyo hadi sasa...
so huwezi linganisha T.O wa mwaka 2000 na wa sasa 2019 ama 2020...
Na ndiyo maana nikataja ubora wa mitihani na siyo ugumu wa mitihani.
 
Kwanini niendelee kwenda na ww,
hebu tuanzie hapa ,kwani nani kasema hawana IMPACT?
The fact ni kwamba jamaa katimiza kilicho mleta duniani, wapo wapasua ubungo wengi wamepita kwenye mikono yake, na wapo ma TO wengi wamepita kweye mikono yake,
kaacha impact na impact imeonekana. kama huwelew unakaza ubongo, haina noma kaza tu ubongo
kitu pekee ninacho kwambia chochote kile kinaitaji elimu, na niwachache wanaotumia elimu zao vyema kuleta matokeo chanya kwenye jamii
 
wewe ni kilaza sibishani nawewe husikute hata kitabu ukiwekewa, hutoelewa....
kwahiyo baki na ukilaza wako
 
Kaacha mtoto mmoja

Afadhali kama alipata angalao wasaa wa kuowa na kupata mtoto,simjui ila nimesikitika sana watu smart na msaada kama hawa kufa hata hawajazifurahia elimu zao,duniani huko watu level yake wanagombania yupi awe tajiri wa dunia wa kwanza na nani awe wa pili ila kibongo bongo sometimes huyu kafariki hajaijengea hata familia yake msingi wa maisha.

Mungu amrehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TAFUTENI ''A'' ZA GEOGRAPHY 2006. ZINAHESABIKA NAMI NILIKUA MMOJA WAO.
Leta uzi wako tukukasirikia ukiwepo
Duuuh kama kweli alisema hivyo aliingiwa na kiburi maridhawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…