TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo


Havard huingii kizembe zembe zama hizi... zamani havard iliwapa sana chance waafrica sabab nchi zilikuwa changa hazina wasomi kabisa (quota system ya potential leaders na walimu wa vyuo ) ndio maana ma professor wa zamani kina mkandala wamesoma vyuo vikubwa kama UC barkeley ... ila zama hizi hawatoi chance kwa maksi za necta.. scholarship za siku hizi ni korea na vyuo vya ulaya visivyo na majina makubwa
 
Sijui kuna siri gani katika mfumo wetu wa elimu ambao maybe tunafichwa maana mawazo chanya kama haya ya kwako nimeanza kuyasikia muda mrefu sana lakini sioni serikali ikijisumbua kufanya mabadiliko ya kimfumo katika elimu ili kuleta tija hususani katika kutambua na kuendeleza vipaji vya watu wake.
 
Dharau zake pia zilichangia kumfelisha.
Wapo baadhi ya Ma T.O wamepushiwa na serikali hii hii wamefika mbali sana.Wamekuwa asset ya nchi na baraka za kiuchumi kwenye familia zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama dharau zake ndio kilikuwa kikwazo nadhani alipaswa kufanyiwa counseling na watu positive.Naamini angekuwa sawa tu.
 
Tunasubiri....Usisahau kuni Tag
 

Aiseee...Nasubiria stori yako. Walimu wa Coet nawapata pata kiasi chake.
 
Mimi ni kilaza(sina hadhi ya U T.O) lakini manyanyaso ya chuo yanayofananafanana na yako yalinifanya nianze kuwauliza wadau wanipe mbinu nzuri ya kujidiscosisha.Nikapewa mbinu kem kem basi nikajifungia kwenye chumba changu cha siri nikachomoka na mbinu mojawapo kiroho safi.Sitakagi ujinga kabisa
 
Wewe unafaa sana kukaa kwenye nyadhfa zinazohusiana na promotion of human abilities.Una moyo wa kipekee sana.Tz hatujazoea kuona watu kama nyie.Uishi milele mkuu.
 
Rigid mkuu
 
Profesa Shayo wa Maths RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…