Ndio huyo mshikaji wako Chegere?
That guy must be really smart basi...
Hajawahi soma USA,say Harvard au Yale?
Its funny from Kindergarten yupo Tanzania tu mpaka leo?
Angeenda Harvard akawa matched na the brights of the world na akawa out-perform aisee tungesema mengine hapa...
Nadhani Rweyemamu Anatory tu ndio aliweza hiyo ya kufunika dunia nzima...
But thats an angle to look at too
Havard huingii kizembe zembe zama hizi... zamani havard iliwapa sana chance waafrica sabab nchi zilikuwa changa hazina wasomi kabisa (quota system ya potential leaders na walimu wa vyuo ) ndio maana ma professor wa zamani kina mkandala wamesoma vyuo vikubwa kama UC barkeley ... ila zama hizi hawatoi chance kwa maksi za necta.. scholarship za siku hizi ni korea na vyuo vya ulaya visivyo na majina makubwa