Umeona sasa[emoji848]Hahahahah ndio maana tunasemaga ukweli. When a man bursts his ass hawezi kuwa na mda wa babysitting a woman full time.
Yani lazma lawama za bby hana mda na mimi ziwepo tu.[emoji23]! Sasa tukishinda wote full time hela napataje sasa
Dah kweli si tunaungua jua kinoma, ila mwamba anazurura na vipensi tu akiwa na mama πππ mwendo wa full option. Mikamera kila saa π aisee ile michezo siiweziMbeba pochi, kurekodi matukio yote ya rest kila siku, kupeleka moto on bed, Basi
Hayo mambo ya kutafuta hela kawaachia nyie mafalaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Hivi Resty anavyopenda mashauzi huyo awe advocate nakuambia angeshatuwekea ofisi na muhuri wa advicate umeshapigwa picha.
Yule Kweka ni mdangaji kama wadangaji wengine wa kiume tofauti yeye ana kibarua cha kudumu.
So mwamba anadanga πππ ila ana cheti cha jamhuri ujueHivi Resty anavyopenda mashauzi huyo awe advocate nakuambia angeshatuwekea ofisi na muhuri wa advicate umeshapigwa picha.
Yule Kweka ni mdangaji kama wadangaji wengine wa kiume tofauti yeye ana kibarua cha kudumu.
We acha tuDah kweli si tunaungua jua kinoma, ila mwamba anazurura na vipensi tu akiwa na mama [emoji23][emoji23][emoji23] mwendo wa full option. Mikamera kila saa [emoji23] aisee ile michezo siiwezi
Duh, ila we binti πππ jamaa atakuwa anakamua kwa uwezo! 4*4 lile lazma uwe vizuri otherwise kibarua kingeota nyasiπ€£Yule sidhani hata kama kut@mba linajua.
Linakuwa linampapasa tu.
Yani Kweka kazi yake ni kutafuta DESTINATIONS tu na kumuonesha bebe, bebe angalia yule swala kajikunaDah kweli si tunaungua jua kinoma, ila mwamba anazurura na vipensi tu akiwa na mama πππ mwendo wa full option. Mikamera kila saa π aisee ile michezo siiwezi
Sema mibonge si inawahi kutepeta πππ sidhani kama hata nguvu nyingi inatumika sema tu mimbulu inavyowashwa kila saa hio ndio kipengele. Ina maana lazma u recharge kila mda.Muacheni Kweka jomoni
Kulipelekea moto lijimama kama hilo kitandani na likaridhika si kazi ndogo ati[emoji23][emoji23][emoji1787]
Mi kwa hapa namsamehe, kibarua anacho tena si haba
Resty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.[emoji7]
Yale maisha ya kuuza uhuru aisee, siku umejiskia kubadili mboga ndio siku utatupiwa vifurushi vyako njeπππ!!!Yani Kweka kazi yake ni kutafuta DESTINATIONS tu na kumuonesha bebe, bebe angalia yule swala kajikuna
Snowhite amka ukasali mamangu, umbea inakusaidia niiiini nyau weeeewe?
Mxxxxxxxxxie.
Nakwambia yuuuule hamna kituuuuuuHahahah nimecheka kinoma yani...ila ujue nini, ukiwa huna hela lazma uwe romantic tu amna namna πππ!
Lisemwalo lipo kwa kweli...
Chafukeni tu mikono aiseeeh.Yale maisha ya kuuza uhuru aisee, siku umejiskia kubadili mboga ndio siku utatupiwa vifurushi vyako njeπππ!!!
Unaishi on the womans terms and conditions maana ndio ana mzigo. Wacha tu hustle tu hata kwa kuunga unga
ππππππ haijawahi tokea katika life of Chawa!Nakwambia yuuuule hamna kituuuuuu
Resti angetuwekea hata shati tu jeupe na suruali nyeusi na zile tie zao
Akaweka caption
"Preparing hubbie for work,
#mradvocatedailyroutine#
Saaaaasa mpk tunakuja mitamboni hakuna cha uwakili wala uhakimu yule ni chawa tu kama chawa wengine.
Weweee mi nakwambia trust me.ππππππ haijawahi tokea katika life of Chawa!
Very true...Sema mibonge si inawahi kutepeta [emoji23][emoji23][emoji23] sidhani kama hata nguvu nyingi inatumika sema tu mimbulu inavyowashwa kila saa hio ndio kipengele. Ina maana lazma u recharge kila mda.
Unajikuta unambato 6/7 days in a week ila namuonea huruma mwamba maana siku akichokwa atafedheheshwa sana. Wanawake mnapendaga kweli ila mna ile hali ya kuchokaga mtu mkimzoea sana.
Dah kweli, nikionaga mwamba anavyojitahidi kucheza mara anajilazimisha kukumbatia kabati na kulisogeza yote ile njaa tu. No real man wants his ass on cameras all the time.Chafukeni tu mikono aiseeeh.
Yule msifikiri yanamkuta anayapenda.
Sasa hana namna
Anafua nguo sasa kwenye nguo weka hela halafu baada ya hela weka Kiingereza cha kufua.
Ile aina ya maisha ina expire date, watoto wanakua there will be a time a man will be elligible to provide in extra. Sasa wewe kila kitu kiko centred kwa mwanamke, miaka yote bar, cosmetics, insurance,fumigation,kitchen n.kWeweee mi nakwambia trust me.
Yuko na criteria zote za chawa.
Ye Resty ndo Vunja bei wake
Hv Uwakili bado hajaupata? Bora abembeleze ada mwaya. Siku mama 'sponsor' akikasirika asije akagoma kumlipia
Wanawake ma hustler wa Mbeya hawawezi hayo kama yule Open kitchen naona katemana na yule mchalii.Mmh yanachosha hayo nayo coz mwanamke hawezagi kumlisha mwanaume miaka yotee...subiri mbele kidogo utajionea [emoji848]