[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh best huonagi kwake [emoji23][emoji23][emoji16]Kila akianza kukata maunoo na mume wake huku wakijirekodi mi naona mapazia hayo hayo
Yah yuko so charming simple, na kitmoto wanaleta kama yote, hata ukitaka ugali waongeze bure wanakuongeza so wabahiri kama sisi muda mwingine uwa kunatufaaAah sio pazuri pale [emoji849]
Sema liko charming sana, hata ofa linatoaga
Sijui kama alishamwachaAlikuwa nyumba ndogo ya Guzman
Haha haha Rachel full kupagawa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyooo.. halafu nyumba anayoishi sasa naona siyo kama ile mwanzo..Labda atabadilisha akimaliza mjengo wake ule ulitaka kumtoa roho Rachel.. [emoji28]
Anafua nguo sasa kwenye nguo weka hela halafu baada ya hela weka Kiingereza cha kufua.Anafua nini odo hii kodi sijaielewa.
Sophia house msimsahau.Sijui kama alishamwacha
Weeee bwana bwana ila.huu mji huuSophia house msimsahau.
Yaani huyu alitunyooshaga sana jamani sisi tunakomaa na monocotyledon na kingdom plantae mwenzetu analetwa na kiescudo akifika getini dereva anashuka anakaa kwenye usukani ili mradi tu aonekane anajua kudrive [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushamtaja kwa majina full na shhghuli afanyazo unazijua sasa sielewi msingi wa swali lako ni nini hasa?Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.
Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana ambalo ndio ofisi za Wasafi. Anaonekana ni very successful businesswoman, tajiri mkubwa haswa ukiiangalia namna anavyospend na mume wake mpenzi. Mara yupo Dubai, mara visiwa vya Malves, saizi yupo mbugani for wedding anniversary.
Kila weekend yupo kwenye mahotel makubwa kama Serena, Hyatt akipata raha.
Jamani huyu ni Nani haswa?
Money laundering hapo nimepata.Anafua nguo sasa kwenye nguo weka hela halafu baada ya hela weka Kiingereza cha kufua.
AhahhahahhahahahahaMoney laundering hapo nimepata.
Yaani huyu wenzake wanajifunza mapenzi na rika lao kuandikiana barua za kopa kopa yeye mapenzi kajifunzia kwa kina Sophia House.
1988Mimi ninachojua tu amezaliwa 1989[emoji38][emoji38][emoji38]
Maisha ya camera ni maisha yake iko kwenye damu.Weeee bwana bwana ila.huu mji huu
Za chini ya kapetiiii, we naee.Ushamtaja kwa majina full na shhghuli afanyazo unazijua sasa sielewi msingi wa swali lako ni nini hasa?
Hv Uwakili bado hajaupata? Bora abembeleze ada mwaya. Siku mama 'sponsor' akikasirika asije akagoma kumlipiaUnamaanisha Kweka?If yes,yy si ndo meneja sasa wa hizo mishemishe huku akiendelea kuufukuzia uwakili.hahahah eti mbeba pochii mwachen Kweka ainjoy matunda ya ndoa bana[emoji23]
Wewe ndio umefanya jambo la maana
Niko tajiri mwenzanguTajiri,bilionea upo?