Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

Ulisoma zanaki?
 
Ila vijana wa kichaga tumekuaje? Tofaut na zamani tuliheshimika kutafuta pesa Leo hii tunaishia kubeba mapochi
Mliambiwa msipende sana pesa mtakuja geuzwa misukule. Sasa hivi hadi vijana wa kipemba wanawashinda hustling, m'mebakia kukalia sifa tu za ooooh wachagga tunajua tafuta pesa.

Ila ukweli mnaongoza kwa umarioo, kuzaa na wanawake hovyo bila kuhudumia na udokozi na utapeli usio na maana maadili yenu yanapotea na wazee wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…