PostGE2025 Reuters: Intended killings in Tanzania, UN experts estimate at least 700 extrajudicial killings

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wewe usiye kichaa tuambie wangapi waliuawa kama kama hujui kwanini anayetaja idadi imuone ni kichaa.
Ni bora ukae kimya kama hujui, kuliko kuropoka na kusema uongo. Jifunze na iamini semi hiyo- Kama hujui huna uhalali wa kuzungumzia jambo hilo, vinginevyo utakuwa muongo.
 
Ni bora ukae kimya kama hujui, kuliko kuropoka na kusema uongo. Jifunze na iamini semi hiyo- Kama hujui huna uhalali wa kuzungumzia jambo hilo, vinginevyo utakuwa muongo.
Kama wewe hujui kitu say ni mbumbumbu au kuna akili kabisa, utajua vipi anayetaja idadi kasema uongo.

Takwimu hupingwa kwa takwimu na research hupingwa kwa research sio kubwabwaja maneno matupu.
 
Leo ni tarehe 09/01/2026

ICC wakitoa arrest warrant panapo majaliwa ntakutag na kukukumbusha your bogus comment
 
Mimi hapa Tunduma nilizika ndugu zangu 10 waliouawa na polisi.
Kwa hiyo mpaka sasa unauhakika na 10. Basi tusubiri na wengine walete namba zao.
Lakini kwa sasa tunatupilia mbali hizo namba za awali za 23,000. 10,000, 2000 na 700. Sisi tuanaanza upya kwa takwimu za uhakika.
 
Utambulisho pekee wa Samia kwa Dunia nzima kwa sasa, na kwa miaka mingi ijayo:

Mwanamke wa kwanza Tanzania na Afrika Mashariki kuwa Rais.

2. Mwanamke wa kwanza Duniani kuwa katili na muuaji wa wanadamu.

4. Mwanamke pekee Rais Duniani aliyefurahia uovu kama vile kuteka na kuua watu, kudhulumu haki za binadamu kwa uwazi kabisa; na kuufanya ukatili na uovu kama sera yake kuu ya utawala, kuhakikisha anabakia madarakani. Ndiye mwanamke oekee wa ajabu, ambaye akishauriwa jambu jema, anakugeuza wewe kuwa adui, kama ilivyotokea kwa TEC, Polepole, na sasa kwa Simbachawene.
 
Waziri mkuu amegoma kutaja idadi,ameuliza mnataka kufanya sherehe?
 
Wa pili, wa kwanza ni Sheikh Hasina wa Bangladesh.
 
Was the number more than 700 or more than 10,000? Who's who in this saga?
 
Maduro hachomoi
 
Inatisha sana sana sana sana 😒😒😒😒😒
 
Hii sasa balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…