PostGE2025 Reuters: Intended killings in Tanzania, UN experts estimate at least 700 extrajudicial killings

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Trump has a position to be commended by everyone with a sane mind, he should clean up all these murderous leaders, when will he arrive in TZ?
 
Waliuana wengi. Wale magenge ya uharibifu waliua Polisi na Polisi waliua wahalifu pia.
Wahalifu walikuwa wanakunywa kahawa mgahawani au siyo?
Hawana silaha zaidi ya vikombe na vijiko.
Tangu lini sheria za Tanzania mwizi akionekana anauwawa hapo hapo bila kupelekwa mahakamani?
 
Sasa ile ambayo Makamu Mwenyekiti wenu Heche anasema 2,000 ndiyo waliuliwa anaipata wapi?

Larry Madowo na CNN wansema 23,000

Halafu naye Dada yenu Maria Sarungi anasema 10,000? Which is which?
stiff necked fools (Bob Marley)
small axe (Bob Marley)
concrete jungle (Bob Marley)
 
The officers ordered men who had taken shelter in a nearby cafe to lie on the ground and then shot at them, three witnesses told Reuters. By the time shooting subsided, more than a dozen lay dead, they said
Mungu wabariki Wazungu
 
Hapa kuna Riot gani?

👇👇👇

Around 8:30 p.m. on October 31, a group of policemen appeared in the Mjimwema neighbourhood of the Tanzanian city of Mwanza, where residents were running errands and drinking coffee. Without warning, they opened fire in different directions, triggering panic.

The officers ordered men who had taken shelter in a nearby cafe to lie on the ground and then shot at them, three witnesses told Reuters.

By the time shooting subsided, more than a dozen lay dead, they said.
 
Anayesema maiti huwa hazihesabiwi anaipata wapi?
Sasa ile ambayo Makamu Mwenyekiti wenu Heche anasema 2,000 ndiyo waliuliwa anaipata wapi?

Larry Madowo na CNN wansema 23,000

Halafu naye Dada yenu Maria Sarungi anasema 10,000? Which is which?
 
Sasa ile ambayo Makamu Mwenyekiti wenu Heche anasema 2,000 ndiyo waliuliwa anaipata wapi?

Larry Madowo na CNN wansema 23,000

Halafu naye Dada yenu Maria Sarungi anasema 10,000? Which is which?
Chukua avarage
 
Huyu kasuku Kikwete atamluka.....kama alivyo fanya kwa lowasa
 
Unarukia tu wala hujui kilichoandikwa hapo. Wenzio wamesema Extrajudicial, hawa mli-target dissidents, opposition na wale mliotaka kuua. Sasa wale "randomly' hawajasema hapo
Hao mashahidi walionukuliwa siyo chadema!?..hivi uta-conclude vipi kwa random people kusema halafu unachapisha kabisa taarifa
Kwa hiyo wewe unataka wauaji wenyewe ndio watoe takwimu na ziaminike?
Unatakiwa kuwa na ushahidi zaidi ya huo,siyo kuambiwa na watu
 
Na kwanini watu walikufa? Polisi hawafundishwi mbinu za kukabiliana na maandamano bila kusababisha vifo? Au waandamanaji walikuwa na silaha za moto? Kwanini wafe kwa idadi kubwa hivyo?
 
Hao mashahidi walionukuliwa siyo chadema!?..hivi uta-conclude vipi kwa random people kusema halafu unachapisha kabisa taarifa

Unatakiwa kuwa na ushahidi zaidi ya huo,siyo kuambiwa na watu
Ushahidi gani unataka makaburi ya halaiki.
 
Hao mashahidi walionukuliwa siyo chadema!?..hivi uta-conclude vipi kwa random people kusema halafu unachapisha kabisa taarifa

Unatakiwa kuwa na ushahidi zaidi ya huo,siyo kuambiwa na watu
Wamesema wana ushahidi wa kuambiwa na wa video. Wewe unataka ushahidi gani, wa wauaji wenyewe?
 
Chawa wamemwambia mama hao 700 ni wachache hawezi kufungwa ICC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…