PostGE2025 Reuters: Intended killings in Tanzania, UN experts estimate at least 700 extrajudicial killings

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Haaaaaleluya Amen AmenAmeen Haleluya x100 by BrendaFassie

Na wote tuseme AmeeeeAmeeenHaleluya
 
Mitandao ipo mingi kwani hii unayopost ni instagram.
Yuko Twitter (X), sijaona hayo mapicha. Kuke Tiktoka na Facebook ukiona MangeKimambi, ni parody tu ya mtu mwingine
 
Tanzania imepigwa ban kupata visa ya Marekani kwani sisi tunachimba mafuta wapi.
Hatujapigwa ban bali tumekuwa restricted kwa masharti magumu. Na hii imesababishwa na Watanzania waliokwenda zamani na waka overstay.

Muwe mnasoma news to their fullest
 
Tuko naye hadi 2030. Ni bora waweke mbinu za kupamabana kipindi hicho
 
MangeKimambi alikuwa na account Instagram yenye members kama 6.4 Million ambayo ndiyo ilishushwa chini. Twitter ana akaunti yenye followers 400,000 ambayo hakuna picha hizo.

Huko FB na Tiktok MangeKimambi alisha kiri kuwa hajawahi kuwa na akaunti
 
Kwa hiyo hao 700 ni halali kuuawa?
Hata wawili kuuawa siyo halali, lakini yale magenge ya wahalifu ni halali. Ile ilikuwa ni vita, kama Serikali ingeshindwa saa hizi Tanzania ingekuwa siyo mahali salama. Pengine ingekuwa Sudan nyingine
 
Wahalifu walikuwa wanakunywa kahawa mgahawani au siyo?
Hawana silaha zaidi ya vikombe na vijiko.
Tangu lini sheria za Tanzania mwizi akionekana anauwawa hapo hapo bila kupelekwa mahakamani?
Mahakama ya kazi gani bana? Tusichoshe bure Majaji wetu na Mahakimu, wana kazi nyingi za kufanya.

Mwenyewe unakubali kuwa wameingia wamekunywa kahawa kwenye mgahawa, ya nini uwaache. Maana hata mtaani tunachoma vibaka kwa moto, sembuse Serikali
 
stiff necked fools (Bob Marley)
small axe (Bob Marley)
concrete jungle (Bob Marley)
Mkuu umenikumbusha Small Axe ya BobMarley

Anakwambia Kashoka kadogo kanaangusha Mti Wa Muninga hata uwe mkubwa kiasi gani
 
Kila mkitaja watu waliouliwa mitaani mnawataja hawa wa Mwanza, Master Tindwa wa Clouds na Sheikh Shariff Majini!!

Taja hao wengine mpaka hesabu ifike 10,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…