J C
JF-Expert Member
- Dec 12, 2013
- 3,061
- 2,541
Umafia tu umetawala. RC ni serikali bila ya imafia lingekuwa chali tayari na ndio maana hamna Mungu mule.Demokrasia na Kanisa haviendani ...
Angalieni Katoliki huku ni Amina tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umafia tu umetawala. RC ni serikali bila ya imafia lingekuwa chali tayari na ndio maana hamna Mungu mule.Demokrasia na Kanisa haviendani ...
Angalieni Katoliki huku ni Amina tu...
Wana kesi ya kiwanja Kama sijakosea huko utamkuta na Mwenzie Appostle Ma-hole kitengo Mwenzie.kuna mwenzake alifariki dunia, cha ajabu serikali ilishiriki msiba na mazishi yake kwa kiwango kikubwa! Hawa mapastari wengi ni watu wa system. Si ajabu hata wakoloni walikuwa nao, ndio hao wamisionari kina Livingston na wenzake
we ni mtu wa mwilini ya rohoni hutayaelewaTaja Makanisa yako sasa.
huyohuyo mmoja Mungu anapendezwa nayeMmoja kati ya Quadrillion
Nimeripoti JamiiCheck naona kuna uzembe
Unaweza kuthibitisha?Hakuna uzembe habari ya kweli hiyo
Moses Magembe si mtu wa tamaa, alikataa cheo cha uaskofu, akasema anabaki na cheo cha Uchungaji na umishenariHapo anawaza kuanzisha la kwake apige hela
Uhafidhina huu,Kuna mambo mengi sana ya kidunia yameingizwa katika Ukristo ambayo asili yake ni kuzimu/shetani lakini yamekuwa adopted kutoka upagani(miungu ya kidunia) na kurasmishwa na kuhalalishwa katika taratibu za ibada za kikristo
Mengine yalikuwa too obvious ambayo hata kichaa tu anaona huu utaratibu hautokani na Mungu bali ni wa kidunia ..mfano zamani watu walikuwa wanauziwa vyeti vya msamaha wa dhambi unalipia unapata cheti au hati ya msamaha wa dhambi au tiketi ya kuingia mbinguni unauziwa unalipia unapata kwa fedha yako.
Na vingine vingi aliviona Matin Luther mtiolojia...
Kwa dunia ya sasa hivi ni baadhi ya tuvitu ambavyo vinaonekana ni tudogo tudogo ambavyo ni vya kidunia ambavyo mkristo raia wa mbinguni anapaswa kuviepuka ni pamoja na
1)kujipamba kujiremba hasa wanawake kusuka ,kuvaa mawigi,mapambo,kuvaa make ups ,kujichubua,rangi za kucha kope ,kuvaa kipachika vitu bandia kuvaa vito...kuna makorokoro mengi wanayotumia mapambo kujiremba wanawake ila hizo gadgets ni maagano na kuzimu.
2)njia Uzazi wa mpango dawa za uzazi wa mpango hazizuii mimba isiingie/isifanyike (fertilization)ila zinazuia mimba isitunge (implantation) yani katika ulimwengu wa kiroho anayetumia uzazi wa mpango anahesabika amefanya UTOAJI MIMBA ni kuua ROHO ZA HIZO MIMBA(uuwaji)
3)Pombe wakristo wengi wanafundishwa mafundisho potofu kuwa pombe siyo dhambi na muna wengine wanafika mbali wanatamani hata kuoa mitaala wana amini pia kuwa na wanawake wengi mitaala ndoa za wake wengi(pombe na uzinzi mitaala ndoa za mke zaidi ya mmoja ,maoenzi ya jinsia moja na mengine yanayofanana NI DHAMBI
4)Miziki ya kidunia,tamthiliya,filamu sinema katuni,ma super hero wakidunia superman,bat man,spider man dianey na hollywood nk nyingingi sinema na miziki ya kidunia .MIZIKI NA FILAMU ni sehemu za ibada ,miziki ile ya kidunia imebeba roho ya kuzimu inayolaani na kuweka maagano ya uharibufu wa maisha ya wote wanaoshiriki ibada ya kishetani kupitia kusikiliza kutazama miziki ya kidunia na sinema video movies za kidunia hollywood n.k hata katuni n.k
5)sikukuu za kipagani xmas,hallowen,happy birth day,na nyongine nyingi...hata hii ya mienge kukimbiza mwenge ..nyingi sana nibfhambi
6)mavazi wanaume wasivae mavazi ya kike na wanawake wasivae mavazi ya kiume ..nguo za fasheni za kidunia ni dhambi
7)michezo kama simba na yanga,ngumi,karate,mieleka n.k olympics n.k mingi sana ni dhambi hata watunisha misuli body builders ,models na ma miss dhambi tupu
8)MIZIMU kutambika mizimu ibada za wafu kama kuomba wafu wawasaidie na kiwatambikia mizimu ni dhambi,kuchanja chale ,kwenda kwa manabii wa mafuta ya upako,waganga wa kienyeji,mafuta ya upako na vitu vya upako kitoka kwq mitume na manabii...ni dhambi
KUCHORA MIILI TATOO na kuchanja chale...n.k,kuvaa mlegezo ,nguo zisizo na maadili kunyoa fasheni ,nguo zenye nembo alama za maagano ya kipepo..vingi sana ,mavazi na vito vingi vinakuwa na maagano vimenyiziwa hata vyakula vingi vimenuiziwa au vina maagano hivyo vyakula tunavyokula na mavazi tunayovaa mfano unakula chakula cha tambiko/kafara au kilichonuiziwa laana au nguo zilizo nembo au alama za ibada za kishetani zina laani maisha .
9)
Siwezi kumpongeza.Mchungaji mwenye msimamo mkali inapokuja suala la kumtumikia Mungu aliye hai Rev. Moses Maghembe ameamua kujiondoa kuwa chini ya usimamizi wa kanisa la mahali pamoja laTanzania Assemblies of God T.A.G
Kama ilivyokuwa kwa wajina wa Maghembe, alikuwepo Moses Kulola ambaye alijitenga na T.A.G na kuanzisha E.A.G.T kwa kutokukubaliana na baadhi ya misingi ya kanisa haswa inapokuja suala la kumtumikia Mungu ipasavyo. Wengi tunafahamu uhodari wa Moses Kulola na huduma yake katika kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.
Rev. Maghembe ndiye mchungaji pekee alikuwa na uthubutu wa kukosoa uongozi wa askofu Mkuu wa kanisa la T.A.G Dr. Barnabas Mtokambali. Alikosoa kitendo cha kanisa la kiroho kutoa tuzo ya amani kwa mwendazake wakati matukio ya mauaji yalikuwa juu.
Pia alikosoa waziwazi maadhimisho ya chama cha vijana ndani ya kanisa C.A.S yaliyofanyika Iringa kwa kufanya bonanza la mpira wa miguu. Maghembe alidai ile siyo njia ya kuhubiri injili ila ni kuishiwa kwa maono na kanisa kuanza kuiga mambo ya kidunia, kanisa linatakiwa kuleta athari duniani na siyo dunia ilete athari kanisani
Kuwa na ministry binafsi au kuwa chini ya uongozi. Wewe uko upande gani?
View attachment 3180718
Naam,kwa hiyo unataka kusema wanadini na wanasiasa lao moja?
Waislamu ndiyo wameweka wazi kabisa kwamba dini ni siasa, wana mpaka Caliphate, mahakama za kidini, na ambition za kutawala dunia.Hayo mambo yapo katika ukisto tuu.
Nadhani waislam bado hawajawa diluted.
HAtari sanaaaHaa In Maghembe Voice
Utakufa Vibaya Wewe!!!
Kumeanza kuchangamkaMchungaji mwenye msimamo mkali inapokuja suala la kumtumikia Mungu aliye hai Rev. Moses Maghembe ameamua kujiondoa kuwa chini ya usimamizi wa kanisa la mahali pamoja laTanzania Assemblies of God T.A.G
Kama ilivyokuwa kwa wajina wa Maghembe, alikuwepo Moses Kulola ambaye alijitenga na T.A.G na kuanzisha E.A.G.T kwa kutokukubaliana na baadhi ya misingi ya kanisa haswa inapokuja suala la kumtumikia Mungu ipasavyo. Wengi tunafahamu uhodari wa Moses Kulola na huduma yake katika kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.
Rev. Maghembe ndiye mchungaji pekee alikuwa na uthubutu wa kukosoa uongozi wa askofu Mkuu wa kanisa la T.A.G Dr. Barnabas Mtokambali. Alikosoa kitendo cha kanisa la kiroho kutoa tuzo ya amani kwa mwendazake wakati matukio ya mauaji yalikuwa juu.
Pia alikosoa waziwazi maadhimisho ya chama cha vijana ndani ya kanisa C.A.S yaliyofanyika Iringa kwa kufanya bonanza la mpira wa miguu. Maghembe alidai ile siyo njia ya kuhubiri injili ila ni kuishiwa kwa maono na kanisa kuanza kuiga mambo ya kidunia, kanisa linatakiwa kuleta athari duniani na siyo dunia ilete athari kanisani
Kuwa na ministry binafsi au kuwa chini ya uongozi. Wewe uko upande gani?
View attachment 3180718
Wasiojua watabisha ila ukisikia mtu ni askofu wa TAG basi kaa nae kwa akiliNinakuunga mkono...ninawajua kama 7 hivi
Kuanzia askofu MtokambaliWasiojua watabisha ila ukisikia mtu ni askofu wa TAG basi kaa nae kwa akili
Kwa kweli sina za ndani ila Maghembe ni mpangaji wa pale mahali kwa miaka mingi na mpaka alianzisha shule ua sekondariIlikuwaje?
Kwa hivyo tule kuku wakiwa wazima wazima au unataka kusemaje !?? Tusile kabisa viumbe hai!?? ... Imeandikwa wapi hii.....show mercy usipokuwa na huruma hata na wanyama kuku mbuz binadamu unamwaga damu muda wote nan aliekuambia ufalme wa Mungu utakaa kwa wauaji ? karma wewe endelea kuua ? ujue utauawa iwe kuku ungefunguliwa macho ukaona waliokuwa wanaua wanachinja wanyama wako wap usingesema
Nimemsikiliza mtoto wake. Nilichojifunza mama na watoto wanahofia Baba akifa wao wataishije na Katiba ya TAG inasema mali zote ni za kanisa. Angalia maisha ya Mke wa Mzee Kulola alafu angalia maisha ya Mwingira, Gwajima n.k ambao nao wameshtuka kwa kuweka watoto wao wawe wachungaji.Kama mzee ametoka TAG manake ameona TAG imepotoka inaenda na usasa na kuacha njia ya injili. Mafundisho kuwa ya kimwili zaidi basi hakuna kanisa au dhehebu lililobakia