Rev. Moses Maghembe ajitoa T.A.G

kuna mwenzake alifariki dunia, cha ajabu serikali ilishiriki msiba na mazishi yake kwa kiwango kikubwa! Hawa mapastari wengi ni watu wa system. Si ajabu hata wakoloni walikuwa nao, ndio hao wamisionari kina Livingston na wenzake
Wana kesi ya kiwanja Kama sijakosea huko utamkuta na Mwenzie Appostle Ma-hole kitengo Mwenzie.
 
Uhafidhina huu,
 
Siwezi kumpongeza.
Kujitoa kwa wengine kuna maanisha mambo mengi moja ikiwa ni ubinafai.
 
kwa hiyo unataka kusema wanadini na wanasiasa lao moja?
Naam,

Dini ni siasa tu mkuu. Ukifuatilia historia ya dini na historia ya falme kubwa utaona kuwa dini imewekwa na falme ili watu waweze kutawaliwa kirahisi.

Ndiyo maana mpaka leo Mwamposa ameua watu na T.B Joshua kabaka waumini na kuangusha ghorofa lakini serikali haziwezi juwachukukia hatua.

Wanajua wanachofanya.
 
Kumeanza kuchangamka
 
Ilikuwaje?
Kwa kweli sina za ndani ila Maghembe ni mpangaji wa pale mahali kwa miaka mingi na mpaka alianzisha shule ua sekondari
Za mitaani zinadai huyu bwana alitakiwa kuhama hapo mahali kitambo tu ila janjajanja yake ndio iliendelea kumuweka pale
Sasa wamekuja wamemuondoa kwa nguvu,tunasema kwa nguvu kwani mtu anaendoka kwa hiyari hapaswi kujaziwa wazee na mitutu
 
Kwa hivyo tule kuku wakiwa wazima wazima au unataka kusemaje !?? Tusile kabisa viumbe hai!?? ... Imeandikwa wapi hii.....
 
Kama mzee ametoka TAG manake ameona TAG imepotoka inaenda na usasa na kuacha njia ya injili. Mafundisho kuwa ya kimwili zaidi basi hakuna kanisa au dhehebu lililobakia
Nimemsikiliza mtoto wake. Nilichojifunza mama na watoto wanahofia Baba akifa wao wataishije na Katiba ya TAG inasema mali zote ni za kanisa. Angalia maisha ya Mke wa Mzee Kulola alafu angalia maisha ya Mwingira, Gwajima n.k ambao nao wameshtuka kwa kuweka watoto wao wawe wachungaji.

Hakuna jipya hapo. Yeye sio wa kwanza kuhubiri hayo anayoyahubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…