Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IyomanaKwani kuna kanisa (dhehebu) lilianzishwa kama apendavyo Mungu?
wewe pdidy sitaki uwe unanijibu 😁😁😉
Ha ha ha haBabu yangu akikuangalia akachezesha mdomo wa chini kesho haupoooo
Sio mimi,ni mchungaji maghembe alisema
Kuna kiongozi wa dini mmoja alikuwa RSO kabisa 😂😂😂Ninakuunga mkono...ninawajua kama 7 hivi
Usimsahau DG wa Magufuli kabisa.Kuna kiongozi wa dini mmoja alikuwa RSO kabisa 😂😂😂
Kipilimba alikuwa mchungaji pale CCC UpangaUsimsahau DG wa Magufuli kabisa.
Sijui Kipilimwa/Kapilimwa siujui
Kwa hiyo injili adimu ni kuhubiri msicheze nyimbo zenye hadhi ya hip hop au regae,kablabya kuoana msifanye friendship and dating,n.k.Nipo upande wa Mosses Maghembe na huyu ndio miongoni mwa watumishi wa Mungu
Nipo upande wa Mossess Maghembe huyu ni miongoni mwa watumishi wa Mungu wa kweli wanaohubiri injili ADIMU sana ile injili ya kweli 100% pure concentrated isiyo kuwa diluted na mambo ya uraia wa dunia zaidi Mkristo wa kweli anatakiwa awe raia wa mbinguni anayeko safarini hapa duniani lakini aishi maisha ya mbinguni akiwq hapa duniani.
hip hop/reggea ni utamaduni(ni imani,ni roho) UTAMADUNI wa kidunia ,haitakiwi kuingiza utamaduni wa midundo ya hip hop kanisani katika nyimbo za injili.Sio hip hop pekee miziki yote ya kidunia ni ibada kamili /roho kamili za miungu ya dunia(kuzimu).Na lengo lake ni kulaani maisha ya wasikilizaji na kuwajaza roho chafu za dhambi.Kwa hiyo injili adimu ni kuhubiri msicheze nyimbo zenye hadhi ya hip hop au regae,kablabya kuoana msifanye friendship and dating,n.k.
Yote yamekatazwa na neno la Mungu na Roho mtakatifu pia anatuarifu kuyaacha.Tumesikia na tunaheshimu maoni yako. Swali dogo ni hayo uliyoyatqja hapo juu ni maoni yako namna vile wewe unavyoona?
Yes, hata aliyekuwa mchungaji wake, Renwel Mwanisongole ilisemekana naye ni mtu wa symystemKipilimba alikuwa mchungaji pale CCC Upanga
Nimeanza kuelewa kwanini vijana wengi wa TAG walipata kazi ndani yq mfumoYes, hata aliyekuwa mchungaji wake, Renwel Mwanisongole ilisemekana naye ni mtu wa symystem
Duuuh kwahio unataka kuniambia Babaangu n TissWasiojua watabisha ila ukisikia mtu ni askofu wa TAG basi kaa nae kwa akili
Huyu si ndiye aliwakosoa mabinti wanaochekacheka siku ya Harusi kwamba bangili zao tayari zina crackMchungaji mwenye msimamo mkali inapokuja suala la kumtumikia Mungu aliye hai Rev. Moses Maghembe ameamua kujiondoa kuwa chini ya usimamizi wa kanisa la mahali pamoja laTanzania Assemblies of God T.A.G
Kama ilivyokuwa kwa wajina wa Maghembe, alikuwepo Moses Kulola ambaye alijitenga na T.A.G na kuanzisha E.A.G.T kwa kutokukubaliana na baadhi ya misingi ya kanisa haswa inapokuja suala la kumtumikia Mungu ipasavyo. Wengi tunafahamu uhodari wa Moses Kulola na huduma yake katika kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.
Rev. Maghembe ndiye mchungaji pekee alikuwa na uthubutu wa kukosoa uongozi wa askofu Mkuu wa kanisa la T.A.G Dr. Barnabas Mtokambali. Alikosoa kitendo cha kanisa la kiroho kutoa tuzo ya amani kwa mwendazake wakati matukio ya mauaji yalikuwa juu.
Pia alikosoa waziwazi maadhimisho ya chama cha vijana ndani ya kanisa C.A.S yaliyofanyika Iringa kwa kufanya bonanza la mpira wa miguu. Maghembe alidai ile siyo njia ya kuhubiri injili ila ni kuishiwa kwa maono na kanisa kuanza kuiga mambo ya kidunia, kanisa linatakiwa kuleta athari duniani na siyo dunia ilete athari kanisani
Kuwa na ministry binafsi au kuwa chini ya uongozi. Wewe uko upande gani?
View attachment 3180718
Na kwasasa askofu mkuu wa TAG Dr. Barnabas Mtokambali ametangaza kuwa anataka wachungaji vijana na wasomi pekee.Nimeanza kuelewa kwanini vijana wengi wa TAG walipata kazi ndani yq mfumo
Ndo maana wamewekeza sana kwenye vyuo vyote vya kwao kuanzia kile kikuu cha Dodoma mpaka vile vya mikoani.Na kwasasa askofu mkuu wa TAG Dr. Barnabas Mtokambali ametangaza kuwa anataka wachungaji vijana na wasomi pekee.
Yote yamekatazwa na neno la Mungu na Roho mtakatifu pia anatuarifu kuyaacha.
Kuna mstari gani unaokataza SIGARA,SHISHA,MADAWA YA KULEVYA...je kwa vile hakuna mstari unaokataza kuvuta sigara ,je tuseme sigara si dhambi??Embu twende mstari kwa mstari. Taja mstari na jambo lililokatazwa
Kuna mstari gani unaokataza SIGARA,SHISHA,MADAWA YA KULEVYA...je kwa vile hakuna mstari unaokataza kuvuta sigara ,je tuseme sigara si dhambi??
Tinatakiwa tuenende tukiongozwa na ROHO mtakatifu amani ya Kristo iamue moyoni mwetu..Kila mtu na afanye kama alivyokusudia moyoni mwake kama akiongozwa na amani ya moyo wake na neno na Roho mtakatifu.