Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nashukuru mungu zile ekari za aridhi zaidi ya 10,000 alipewa na magufuli agepewa na Raisi mgine kikwete au Samia pasingetosha sijui kama hiyo vita ingeisha mpaka leo loh!!! roho mbaya umasikini na chuki za kidini ndo tatizo kubwa hapa kwetu.Kabisa yaaan make siku Ile sikuona hata mtu mmoja aneyesema Kwa nini magufuli azinduwe kiwanda Cha Azam kwanini asingeenda waziri wa viwanda.
Kweli kabisa umenena vyema mkuuNa nashukuru mungu zile ekari za aridhi zaidi ya 10,000 alipewa na magufuli agepewa na Raisi mgine kikwete au Samia pasingetosha sijui kama hiyo vita ingeisha mpaka leo loh!!! roho mbaya umasikini na chuki za kidini ndo tatizo kubwa hapa kwetu.
Kila la heriRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Mradi wa Minara ya Kurusha Matangazo ya Televisheni Ardhini(DTT) ya Kampuni ya Azam Media Limited, Makao Makuu ya Azam Media Limited- Tabata Dares Salaam leo tarehe 18 Mei, 2023.
TBC hawana minara ya kuzindua?Ni jambo jema!
Kwa muktadha huu, mvua zikinyesha tunaona clear tofauti mwanzo kukatika katikaUzinduzi wa minara ya digital terrestrial television (DTT) transmitter network.
The uplink of Azam Media channels to satellite, which are then received by DTT towers for terrestrial transmission.
This ensures that all Tanzanian households have access to high-quality television at a minimal cost.
Leading in technology deployment and coverage using the latest standards in DVB-S2 and DVB-T2, ADBL will continue expanding its terrestrial infrastructure to reach remote areas.
Using state-of-the-art Downlink and Uplink Head End facilities and Network Operator Centres (NOC), we are responsible to manage and maintain the network and infrastructure of both DTH and DTT platforms.
Azam Digital Broadcast Limited (ADBL) has made significant investments in the deployment of DTT Towers and top-of-the-line equipment with its network situated in 26 strategic locations across Tanzania.
Source : https://bakhresa.com/azam-digital/
Itazinduliwa kila mwaka? Iwe kama anniversaryTBC hawana minara ya kuzindua?
Hata waziri hatakiwi kufanya ujinga kama huu. Hii ni kazi ya mwenye mnara.Kutwa Kucha kujikomba kwa watu matajiri.
Huku wananchi wako wakifa njaa.
Hayo mambo Uzinduzi wa ''Mradi wa Minara ya Kurusha Matangazo ya Televisheni Ardhini(DTT)'' Waziri wako wa mambo ya habari anafanya kazi gani?
Wana sababu za msingi bila shaka. Wamesahauliwa na serikali yao. Hili ni jambo linaweza kutokea kwa binadamu yeyote.Roho mbaya inasababishwa na umasikini wa roho na mwili ndo maana chuki nyingi kwa wale walionacho, bila hata sabab za msingi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Mradi wa Minara ya Kurusha Matangazo ya Televisheni Ardhini(DTT) ya Kampuni ya Azam Media Limited, Makao Makuu ya Azam Media Limited- Tabata Dares Salaam leo tarehe 18 Mei, 2023.
we mjinga. unajua azam analipa kiasi gan cha kodi? kwahiyo asingeenda hapo wanachi wasingekufa na njaa. Aya we mjinga twambie ni mkoa gan watu mamekufa kwa njaa?Kutwa Kucha kujikomba kwa watu matajiri.
Huku wananchi wako wakifa njaa.
Hayo mambo Uzinduzi wa ''Mradi wa Minara ya Kurusha Matangazo ya Televisheni Ardhini(DTT)'' Waziri wako wa mambo ya habari anafanya kazi gani?
Tido Mhando anapaswa astaafu, aachie madaraka kwa damu changa sasa. Umri umekwenda sana na ameanza kupoteza consistence hata kwenye kusoma.