Rias Samia kununua kila goli la Yanga kwa Tsh. Milioni 20

Rias Samia kununua kila goli la Yanga kwa Tsh. Milioni 20

Kwa mpira niliouona jana wa USM Alger hiyo ahadi Raisi hata angesema 20M kwa kila on target bado ingekuwa mtihani
 
Ila hao Yanga kwa kuitangaza Tanzania kwa kiasi hiki, hata tungekuwa na bilioni 100 tusingeweza kuwalipa vyomba vya habari vya kimataifa kuitangaza kama wanavyofanya Yanga free of charge.

Hii itakuza utalii na uwekezaji, hizo pesa zote zitarudi.
Mgomo wa Kariakoo umeenda viral hadi vyombo vya habari za west zimelipoti.

Yanga ni kisehemu kiduchu sana kwenye influence ya kutangaza nchi, Yanga inatangaza nchi kwenye nchi ambazo tayari wanatujua sasa hiyo ndio nini?

We leo unaenda South Africa unasema umeitangaza nchi? South Africa ambayo tangu enzi za Nyerere hawajapata uhuru walikuwa wanaijua Tanzania nje ndani afu we leo unasema Yanga kaitangaza nchi....aaah come on eb tuache masihara basi
 
Kwa maamuzi hayo ya Ms Tozo nachelea kusema mama Tozo hana muda na changamoto za anaowaongoza.
Hakuna cha ajabu hapo. Ni kawaida aliyefanya jitihada kusaidiwa ili apige hatua zaidi.
 
Mpira ulopigwa ulikuwa ni wa galaxy nyingine ilikuwa ni dharau kuzima alert live
Si kweli mpira ulikua upande mmoja asec mimosas walienda kinyonge sana ni kama walishakubali Ku giveup
 
Kutwa Kucha kujikomba kwa watu matajiri.
Huku wananchi wako wakifa njaa.

Hayo mambo Uzinduzi wa ''Mradi wa Minara ya Kurusha Matangazo ya Televisheni Ardhini(DTT)'' Waziri wako wa mambo ya habari anafanya kazi gani?​
Sioni kosa kwenda kuzindua hata kama ni kwa udogo gani. Hayo ndio mambo raisi anapaswa kuyafatilia kwa ukaribu, haata akienda kuzindua duka kariakoo bado sioni tatizo.

Tatizo naloliona ni popularity anayotafuta kwenye sijui kununua magoli, au wale chawa kwenda na mabando ya picha yake uwanjani
 
Si kweli mpira ulikua upande mmoja asec mimosas walienda kinyonge sana ni kama walishakubali Ku giveup
Uliona header ya kikatili aliyopiga yule mchizi?

3f96fee2deef9023006328eb446059fe.gif
 
Hongera mama Samia,mungu akulinde ,sisi wananchi tunaahidi kombe tu
 
Sasa me najiuliza mbona enzi za Mwendazake hawakuwahi kumuita kuzindua vitu kama hivi.... Yan kila siku kuzindua taka taka mpya tu..

Kazi kweli kweli
Naona umemmisi mwenda zake, unatokwa pozi hatari, nenda Kwa Nyerere muigiziaji wa sauti, akupatie japo scene moja ya sauti ya mwenda zake. Nadhani iyo itakusaidia
 
Back
Top Bottom