FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tutakapofika klabu bingwa ya Dunia ndio utaelewaMgomo wa Kariakoo umeenda viral hadi vyombo vya habari za west zimelipoti.
Yanga ni kisehemu kiduchu sana kwenye influence ya kutangaza nchi, Yanga inatangaza nchi kwenye nchi ambazo tayari wanatujua sasa hiyo ndio nini?
We leo unaenda South Africa unasema umeitangaza nchi? South Africa ambayo tangu enzi za Nyerere hawajapata uhuru walikuwa wanaijua Tanzania nje ndani afu we leo unasema Yanga kaitangaza nchi....aaah come on eb tuache masihara basi