Rias Samia kununua kila goli la Yanga kwa Tsh. Milioni 20

Tutakapofika klabu bingwa ya Dunia ndio utaelewa
 
Kama wafanyakazi wa kima cha chini wote walipata 70k kwa nchi yote, waliofuata wengine 60k, 50k, 40k, 30k mpaka 20k. kwa namba ya watumishi wote ndani ya miezi 12 unadhani ni sh.ngapi?
Milioni 20 kwa goli moja unadhani yanga itashinda zaidi ya magoli 10 kwasasa?
Ni fedha ndogo tu.
Pia ngoja nikuambie kitu, kuna watu waliongezewa mpaka 80% ya mshahara wao. wengine 23% .
Binafsi niliongezewa 125,0000.
 
Ahahahahahaa nahisi wewe ni kolo..!!! Unapoitangaza nchi ukiwa sehemu fulani, huwatangazii wananchi wa nchi uliyopo pekee..!!! Hadi walioko nje ya nchi unakoitangaza nchi yako wanapata habari..!! Hebu fikiria, wapenzi wa USMA hawajafuatilia..???
 
USM ALGER wataifualitia Yanga hawajafuatilia nchi
 
Naona umemmisi mwenda zake, unatokwa pozi hatari, nenda Kwa Nyerere muigiziaji wa sauti, akupatie japo scene moja ya sauti ya mwenda zake. Nadhani iyo itakusaidia
Joined at........Yesterday at 6:08 PM...
Hapa sijali kama ulikuwa na ID ya zamani, issue ni kwamba umejiunga jana saa kumi na mbili na dak. 8 jioni.
 
Kuna mamia ya mabango ya gharama kubwa yenye kumsifia kila mkoa yamesambazwa barabarani
Serikali inawekeza nguvu na rasilimali nyingi kutekeleza wrong priorities
 
Serikali inawekeza nguvu na rasilimali nyingi kutekeleza wrong priorities
Wanajuwa huko ndiko watu wengi wafuatiliaaa
Huoni wageni waalikwa bungeni wanaoendaga

Ova
 
Hiyo picha ya mtoto kakaa kwenye kitu Cha raisi kina mbowe wakiiyona machozi yanawalengalenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…