Ricardo Momo: Yanga wana sababu za msingi kugomea mechi

Hizo zote marudio....hakuna jipya hapo ambalo mnyama hajawahi fanya....hatu hatu hatu fc.....
Mara nne labda kama kijili ni mchezaji wenu
πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜€Ila mbumbumbu kwaiyo own goal ya Kijili ni la 5imba
Au mmesajili machizi yanajifunga
 
Inawauma sana uto kuwa Simba ilisimamia kanuni...
Sasa nyie pigeni domo Simba haibabaiki...
Mnawapangia watu wafanye nini kwny kanuni ambayo inawaruhusu mnachekesha sana...
Ila nadhani mlichimbia mavitu mule mkawa mna hofu ya kufukuliwa sio bure...
 
Sasa mbona maneno yake ni ya kishabikiπŸ˜ƒ
 
Unawadanganya wenzio, ohooo
 
πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜€Ila mbumbumbu kwaiyo own goal ya Kijili ni la 5imba
Au mmesajili machizi yanajifunga
Acha kushabikia goli ambalo hamkufunga zuzu wewe...hilo goli lipo huko kikanuni ila sio ndo la kulikenulia meno mwaka mzima...ulimbukeni tuu umekujaa...
 
Inawauma sana uto kuwa Simba ilisimamia kanuni...
Sasa nyie pigeni domo Simba haibabaiki...
Mnawapangia watu wafanye nini kwny kanuni ambayo inawaruhusu mnachekesha sana...
Ila nadhani mlichimbia mavitu mule mkawa mna hofu ya kufukuliwa sio bure...
Kama wewe mbumbumbu huwezi kuelewa hoja za Yanga
Hoja za Yanga zipo juu ya uweZo wako
 
Iliahirishwa saa ngapi !?? Simba barua Yao ya kusema hawatoscheza ni ya saa ngapi!?? Mbona mnajitoa ufahamu... Mpaka mchana inahairishwa bodi ya ligi walisema mechi ipo ..wakati Simba walisema jana yake usiku hawachezi ....
Wewe kweli mtoto wa nzi
 
Acha kushabikia goli ambalo hamkufunga zuzu wewe...hilo goli lipo huko kikanuni ila sio ndo la kulikenulia meno mwaka mzima...ulimbukeni tuu umekujaa...
Nambie matokeo ya hiyo mechi wewe mbumbumbu
 
Ni kweli kabisa na mimi naunga mkono hoja tusitie timu sisi utopolo
 
Kama wewe mbumbumbu huwezi kuelewa hoja za Yanga
Hoja za Yanga zipo juu ya uweZo wako
Uto haijawahi kuwa na hoja zote ni za kizuzu ndo maana hawajawahi kushinda kesi hata moja...yani hata moja...ndo ujue wamejaa mambumbumbu na mazuzu kwa pamoja...hahahahaa
Simba walisema hawatacheza mpk waambiwe wale ni kina nani wamezuia wao kutofanya mazoezi...eti mnakuja hapa kutetea upuuzi eti kutofanya mazoezi siku moja tuu ndo waasicheze...mbona nyie uto mligoma kisa tuu masaa yamepelekwa mbele? Si mngecheza?? Kwa sbb kanuni mliziona zinafaa ila kwa sbb ni simba wamefata kanuni mnaona hiyo kanuni ya kipuuzi...
Kalale huko utulize komwe lako...hahaha
 
Ni kanuni gani nimeonekana kutoifahamu kwa maswali yangu hapo juu?
Swali gumu sana hili, yaani unauliza swali ambalo wewe mwenyewe huna ufahamu nalo.
 
Karia na TFF yake na 5imba ambaye ni timu yake ndo Sasa ataujua ukubwa wa Yanga
Mazoezi hao 5imba walizuiliwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…