Ricardo Momo: Yanga wana sababu za msingi kugomea mechi

Iliahirishwa saa ngapi !?? Simba barua Yao ya kusema hawatoscheza ni ya saa ngapi!?? Mbona mnajitoa ufahamu... Mpaka mchana inahairishwa bodi ya ligi walisema mechi ipo ..wakati Simba walisema jana yake usiku hawachezi ....
Bodi ya ligi walisema lini na saa ngapi mechi ipo baada ya Simba kugomea mechi?
Leta statement Yao.
 
Nambie sababu zipi za msingi ambazo zilifanya mechi kuhairishwa
 
Pole bibie kunywa maji mengi na meza vidonge vyako vya kuondoa presha yake ya kupanda, Bado tunakuhitaji mbumbumbu uwe jukwaani
Sina ugonjwa mzee Ngara mimi binti kigori...hahahahah
Nikuombe tuu usijepata depression ukashindwa kuzalisha maaana utakua umeishi bureee..sio kwa stress hizi mnazopitia...
 
Nina watoto 3
Ikikupendeza naomba unizalie, sema jitahidi sana mwanangu asije chukua akili zako huko umbumbumbuni Kwa Rage
 
Kuna ujinga hata hauna tafsiri. Mojawapo ni kuweka rehani nafasi ya kucheza klab bingwa Africa sababu ya mechi moja ya ligi kuu.
 
Siwezi kuzaa na zuzu aisee itakua upotevu wa mayai.... πŸ˜† πŸ˜†
Kwa akili hizo utakua umezalisha house girls wa majirani.. hahahah
 
πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜‚Una majibu kingese wewe mbumbumbu
 
Kuna ujinga hata hauna tafsiri. Mojawapo ni kuweka rehani nafasi ya kucheza klab bingwa Africa sababu ya mechi moja ya ligi kuu.
Mwanaume ni msimamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…