Acha ujuha, ulichoandika ndio jibu ya nilichouliza?Nambie sababu zipi za msingi ambazo zilifanya mechi kuhairishwa
Mimi kwangu Rage ni mtu tuu kama mimi ..na ninatoa maoni yangu yaliyoenda shule nadhani mwenyewe ukisoma una sema yeees Kalpana ana point sema ushabiki tuu na kukaza fuvu...Hama kwenye upande wa Wanachama wa Rage
Wao waache Kucheza Sisi tunachukua Point 😀😀..Watabaki kutandaza tuu meno nje hatuchedhii hatuchedhiii
Me huwa nakuona mbumbumbu tuMimi kwangu Rage ni mtu tuu kama mimi ..na ninatoa maoni yangu yaliyoenda shule nadhani mwenyewe ukisoma una sema yeees Kalpana ana point sema ushabiki tuu na kukaza fuvu...
Au unasemaje wewe mr Uto...
Nje ya siasa hakuna mtu mwenye akili timamu atasusia nafasi ya kucheza Klabu bingwa Africa.Mwanaume ni msimamo
kwani kuna kipimo unatakiwa ushindwe kesi ngapi aliye waita mbumbumbu hakukoseaKesi sita zote unashindwa
Sasa CAS unapeleka makaratasi page 49 takataka tupu kama sio ungese ni ninikwani kuna kipimo unatakiwa ushindwe kesi ngapi aliye waita mbumbumbu hakukosea
Shida Iko wapiNje ya siasa hakuna mtu mwenye akili timamu atasusia nafasi ya kucheza Klabu bingwa Africa.
Hakuna msimamo zaidi ya kutoa nafasi ya kisiasa ili mwanasiasa apate umaarufu kwa kutatua tatizo linalotengenezwa.
Kanuni 34:1 (1.3)Nambie sababu zipi za msingi ambazo zilifanya mechi kuhairishwa
Iandike hapaKanuni 34:1 (1.3)
mbona CAS ajasema katupilia mbali madai ila kasema warudi kwenye mamlaka kwanzaSasa CAS unapeleka makaratasi page 49 takataka tupu kama sio ungese ni nini
Hujui CAS inadeal na nini pumbavu mwiko nyuma
zuzu sugu uyo🤸🤸🤸🙏Unaniuliza swali la kizuzu ili nikujibu?? Kama huyajui mashindano Simba aliyopo hilo sio jukumu langu kukujulisha....
Zuzu kabisa....
huyo zuzu chura maji🤸🤸🤸🤣😅Soma uelewe ww zuzu maji...
FIFA awasikilizi kesi za mazuzu🤸🤸🤸🤣Wao waache Kucheza Sisi tunachukua Point 😀😀..
Ili wakashtaki VizurI FIFA 🤣🤣
Wamejilewesha mwenyewe mpka mpanzu kawa wa moto .Baada ya Uchunguzi Walitoa Barua Ya Kuahirisha Mchezo..
Soma Taarifa Yao Hiyo..
View attachment 3326269
Kombe la ligi si furaha ya wanaSimba. Simba imeshabeba sana hilo kombe. Kuna furaha inatafutwa ya aina nyingine.Shida Iko wapi
Acha Karia aipe timu yake points za mezani
Na awape ubingwa kivyovyote ili afurahie nafsi yake na wanasimba
Wewe shabiki wa 5imba furahia tu umeokota kombe
hirisha waoBodi ys Ligi na TFF ndo waliahirisha Mechi Mkuu..
Hukuona Tangazo lao?
Mchezo wa march 8 ulighairishwa kwa tukio lipi kati ya hayo ya kwenye kanuni?