Ze General
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 1,508
- 1,253
But not to all post Right?!Dah mkuu always you are the first to reply.... Hahaha
Hilo hata mm kama ndio mlinzi lazima nichukue Minga huoKutakuwa na walinzi kaburini muda wote??
Huu ndio ujinga wa kiwango cha juu niliowahi kukutana nao
Watabana mwanzoni tu,,, subiri baada ya mwezi hivi utasikia watu wameshatia kambi hapoKutakuwa na walinzi kaburini muda wote??
Only in africa.
Umeona..wanataka kusababisha kaburi lifukuliwe. Na hao walioweka pesa hawajamtendea haki marehemu. Na sidhani aliwaambia wafanye hivyo siku akifa.
Acha uongo million 30 ya Uganda nikama million 22 ya Tz. Kumbuka mpaka sasa exchange rate ni 1.5. Yani ukiwa na 10000 ni sawasawa 15000 ya Uganda.Sasa milioni 30 ya uganda si ni 5000 ya bongo hii ni exchange rate ya 2015 inawezekana ikawa hata 3500