Rich Mavoko kwenda kusign WCB ni jambo la aibu

Uuuuwi! Wala usimsifie masta, masta kapaukaaa, masta kafuliaaaaa, masta anaemuwekaga kwenye ramani ya wachambaji ni DIAMOND NA ZARI baaaaaasi, sasa now days amejikuta hana vichambo vipya against this pple ndio maana kapotea kama sh.ya mkoloni kule insta, ila MANGE SAWA, huyo ukimuita fundi hata me nampa credit zangu coz kila atakae amua kumchamba anachambika, lakini dougie pyeeeeeee! Tupa kuleeeee! Kuchamba amchambe DIAMOND AU ZARI ndio uwaza wake wa kujidai, na asipompost dai au zari wanafuasi wanamsaliti yuda rudisha nyuma, juzi alinichekesha anawaambia wafuasi wake ni lazima wacomment kwenye post zake, baada ya kuona post za wem a sijui kiss zinaishia comment 5-15, mpaka nilimuonea huruma kwa kweli.
 
Mnajiandaa kuchukua credit siku tuzo ikitua pale airport kuwa na nyinyi mlipiga kura!! Vizuri lakini maana angalau mmejifunza kutokana na makosa maana mwakajana mliaibika sana, mmehamasishana weeeee lakini 'ndoo' ikaja home.. Hahahahah

Mimi nilitamani sana muendelee kuhamasishana ili tuwaabishe tena mwaka huu.. Unajua its kinda fun proving doubters wrong!!

#hatushindwi
 
Akanana mimi nakusalimu tuu..
 
Unajaribu kusema huna team but it is all over your face kua una team. Ss matusi ya harmonise yakakufanye ushindwe kumpigia kura diamond wtf. Hakuna m2 acyependa ki2 kizuri ndio maana ata kny kutafta kazi ukipata 3 tofaut cha kwanza ni maslahi. Muache mavoco akapige kaz wcb. Km kapangiwa kuangyka ataanguka lkn co kwa mineno yako.
 
Hivi na wana JF nao wanatafutaga Kick ili nao wawe on air
 
igweeeeeeeeeeee Dada lala 1 umepasua jipu pwaaaaa , hivi ishu ya AY kujiunga WCB imeishia wapi?
 
Kwa pumba hiz nan atathubutu soma blog? Huyu toka kitambo nlishamweleza n mwepes sana sema njaa ndo inamfanya ajikute mgumu anaforce king[emoji23][emoji23]
Kwani lara1 anayo blog? Ni ipi mkuu?
 
Mmmh kwakweli cjapata ona mwanaume kama huyu...pole sana ni neno pekee lililobakia
 
Weweeeeeeeeee mimi sina mtoto ujue, Harmonise alivo tutukana wagumba uliona jojo sanaaa eeeh? Mimi yale matusi yake yalinuma sanaa kama mwanamke nikasema sio kesi kama ana management nzimaaa na hajaomba msamaha BAAAAAAAAAAS. Uzuri for ONCE Salam kampa ushauri sahihi, na wanawake wagumba Tz tumemsamehe na tumeyaweka pembeni.
 
Mmmh kwakweli cjapata ona mwanaume kama huyu...pole sana ni neno pekee lililobakia
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAA! Mwanaume kama mimi tena? Makubwaaaa! Nashukuru kama nondo zangu zimeniqualify nyinyi vidume kunipokea kwenye meza yenu na kukubali mimi level moja na nyie hata kama sikojoi nimesimama sina budi kusema SANTEEEEEEEEE.
 
Kwa pumba hiz nan atathubutu soma blog? Huyu toka kitambo nlishamweleza n mwepes sana sema njaa ndo inamfanya ajikute mgumu anaforce king[emoji23][emoji23]

nA KINGI NIMEIPATA CHEZEA MIE, NA BUSARA ZAKO UKASOMA MSTARI KWA MSTARI NA KU COMMENT JUUUUUUU! HAINAGAAAAAAAAAA USHEMJIIIIIIII WANASEMAGA HAINAGA USHEMEJIIIIIIIIII SANTEEEEEEE SANTE SANAAA LE INTELIGENT KWA KUCHANGIA.
 
Kiboko
HAHAHAAAAAAAAAAAA! TOO BAD YOU CAN TELL ME NOTHING! NARUDI TENA HIZI AMRI AMRI HIZI MUWAPE WAKE ZENU MNAOWAPA KUNYA HAPA MJINI.
Hata kama kuku mgeni mjini hakosi kamba mguuni embu google tu Rich Maoko vs Dimond Platnums uone wamepambanishwa BATTLE NGAPI hapa mjini na Rich alishinda ngapi. Rich punguza njaaa kijana wewe sio wa kwenda ku sign WCB. MARA 10000000000 UNEOMBA COLLABO, LOOOOOH, MASKINI MAMA RICHARD.
 
igweeeeeeeeeeee Dada lala 1 umepasua jipu pwaaaaa , hivi ishu ya AY kujiunga WCB imeishia wapi?

HAAHAHAAAAAAAAAA! NI KAZI CHAFU ILA ILIKUWA LAZIMA MTU AIFANYE. AY KUJIUNGA WCB NI SAWA NA DRE KUJIUNGA NA YOUNG MONEY AU SNOOPY KUSIGN CASH MONEY. HAHAHAAAAAAAA! AY anangoja billions za Tigo.
 
Lara1 utakuwa na chuki binafsi na domo tu, kama amekutosa kwenye ufalme wake kaushia tu, sio kila siku utoke mapovu kwa ajili yake
HAHAHAAAAAAAAAAAA! SASA HAPA KWENYE MADA YA MAVOKO DOMO KAINGIAJE? MIMI I CARE ABOUT RICH NDO MAANA NIMEKUBALI MNICHAMBE WIMA WIMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…