Rich Mavoko kwenda kusign WCB ni jambo la aibu

Kwahiyo akisaini WCB hawezi tena kuimba hivyo au?!

HAWEZIIIIIIIIII! Maana Dai ndo anamchagulia wimbo wa kutoa. Wakiona wimbo mkali wanaubania. Hairuhusiwi kumpita boss. Yale yale ya Lil Wayne na Cashmoney
 
HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAA! SANTE KAKA! BIG THINKING!

Kuna uzi ulishaandikwa hapa,

Rich Mavoko kusaini Wasafi Classic Baby

Doubts zako ni moja ya zilizokuwa doubts zangu pia, mimi kama sijafurahishwa na Dogo kujiunga Wasafi isipokuwa nilitamani kungeibuka Label nyingine ambayo ingeweza kutengeneza ushindani na WCB.

Hii ni njia moja ya kuua muziki kwa sababu unapunguza kompetition na mwisho wa siku kinaingia sokoni kitu mnachohitaji nyie kwa sababu ya monopoly, ndo haya ya Harmonize anaimba Bado, Raymond naye anaimba Bado.
 

MMMMMMMMMMMMMHHHHHHHHH! Kama yule dogo wa juzi ni TALENTLESS KABISAA IT DOESNT TAKE YOU 2 SECONDS KUNGAMUA THE KID HAS NO TALENT WHATSOEVER!
 
HAWEZIIIIIIIIII! Maana Dai ndo anamchagulia wimbo wa kutoa. Wakiona wimbo mkali wanaubania. Hairuhusiwi kumpita boss. Yale yale ya Lil Wayne na Cashmoney
Sio kweli mbona hao madogo wapo hapo WCB wanatoa hits za kutosha na hatusikii hayo malalamiko?

Mawazo yako tu, tena mi naamini atarudi kwenye ramani.
 

Sikuuona, ngoja niucheki. Umeongea maneno KUNTUUUU sanaaa.
 
Sio kweli mbona hao madogo wapo hapo WCB wanatoa hits za kutosha na hatusikii hayo malalamiko?

Mawazo yako tu, tena mi naamini atarudi kwenye ramani.
HAHAHAHAAAAAAAAA! Hit ni Ayoola tu, zingine zote BABLISH.
 
Watu mmeshindwa kujibu hoja zake mna attack personality, hiki alichokiandika tulishawahi kukijadili humu. Mavoko ni Brand, kwenda kujipeleka kwa kina D ni kuonyesha kwamba yeye kama yeye amefeli maisha ya muziki anajikabidhi kwa adui.

"If you can't fight them join them", nadhani Mavoko katumia hii style.
 
Dimond sikumshindwa, nilimnyoosha USHAMUONA KWENYE BANGO LOLOTE LA VODA? Embu pitia tena PRESS RELEASE MKATABA WAKE UNAISHA LINI NA LEO NI LINI? INTERNENT NEVER FORGETS.

Ninawasiwasi ulitaka uwe demu wa diamond Sema umemiss vigezo sasa unachofanya ni kumdiss na kumchafua tuu,sasa kaa ukijua diamond ni kama shimo la choo,hata uje na uchafu gani huwezi kulichafua sababu kila aina ya uchafu upo kwake,one love WCB amani kwa mavoco
 
MIMI NIMEJULIKANA JF KABLA YA HADITHI! TANGIA 2012 NANI ASIENIJUA HUMU? HADITHI NIMEANZA KUTUNGA 2016!!!!!!!! AAAAAAAAAAAAH!
stick dada ake.hupendezi kua na ushabiki na mambo kama haya bana!hebu shusha kitu kitamu tamu fasta tuburudike..muache Mondi awanyooshe wanaoshindana nae bila kua na strategies.
btw,sijawah muona Mavoko kama mshindani wa Mond...he's very average!
 

Wanaimba bado sababu kweli ni bado,ikiwa tayari wataimba tayari,acheni watu wafanye yao,au kama hawawezi fungueni nyinyi lebo yenu ije kuwafunika wasafi na weusi kama mnaona kufungua lebo ni swala la kitoto
 

Basi mshauri na ally kiba ajiunge nao,maana ally kiba kashindwa kabisa na hawa jamaa
 
Basi mshauri na ally kiba ajiunge nao,maana ally kiba kashindwa kabisa na hawa jamaa

Umeandika kitu tofauti na nilichoandika, muziki wetu Bongo kwa sasa una hali mbaya kwa sababu ya haya mashindano ya kijinga jinga ya Kiba na Diamond, ukitoa comment ambayo timu flani hawapendi unaambiwa eti we ni timu sijui nini.

Hii imesababisha watu wanashindwa kuwa objective kwenye kutoa maoni, wanaanza kujibu kwa kuogopa kutukanwa na timu pinzani, huu ni ujinga wetu wabongo kuleta Mambo ya Ukawa na CCM kwenye issues za entertainment.
 
Hilo la wewe unamshabikia au humshabiki jibu linapatikana kwa komenti zako na "magazeti yako" unayoyaandika kama hili ( kwa mtu anayekufatilia hapati tabu kujua hilo) lakini pia kwa wewe kutokuwa shabiki wake si tatizo (maana haiwezekani wote kuwa sawa kimawazo) lakini tatizo lako kutuonyesha CHUKI ZAKO ZA WAZI ZILIZOKOSA HOJA,HATA UKIULIZWA SWALI KWA KILE UNACHOKISEMA HAUNA MAJIBU YA KUELEWEKA ZAIDI UTAJIBU "MIPASHO" ACHA HIZO UBORA WA MSANII YEYOTE UNAYEMPENDA/KUMSHABIKIA UTAKUJA KWA JUHUDI ZAKE NA SIO KWA CHUKI ZAKO/ZENU KWA DIAMOND,UNAFELI DADA NA NDIO MAANA ANAZIDI KUFANIKIWA KWA SABABU YA CHUKI ZENU.TUMIA MUDA WAKO KUIFANYA HIYO NYIMBO "YAKO" (AJE) IPATE VIEWERS WENGI YOUTUBE AU IUZE SANA KULE MKITO ( maana imedoda ukilinganisha na nyimbo zilizotoka pamoja nayo) BADALA YAKE MASHABIKI WAKE HAMUMSAPOTI KWA KUMUINGIZIA KIPATO BALI MPO KUMPROMOTI DIAMOND.
 
Mavoko ni kijana mwenye kipaji tangu atoe pacha wangu ni miaka miwili sasa amepota kwenye gemu
Katapa managerment ya WCB anataka arudi kukuza kipaji chake imekuwa nongwa , mwacheni kijana ajitafutie pesa asaidie familia yake au mlitaka akae kijiweni aanze kuvuta unga muanze kumcheka?
Mwacheni atafute mafanikio yalipo
 
wabongo sisi ni shida aisee, samtym nashangaa mtu anaanzisha uzi wa d mtu analeta habari za kiba and vice-versa sijui labda hao wasanii hawana content za kutosha hadi kuingiza na za wengine
 

Mkuu mimi simlaumu sana Mavoko isipokuwa system ya Muziki wetu kushikiliwa na watu wachache, nilikuwa natamani sana kungekuwepo na management zingine zinazoweza kuleta ushindani kwa WCB ili tuone vitu vyenye akili zaidi.

Utakubaliana na mimi kuwa King Kiba kabadilika sana hasa kwenye videos kwa sababu ya kupambanishwa na Diamond, sasa ushindani wa namna hii ni muhimu kwenye industry.
 
MUDA MNAOUTUMIA KUMPROMOTI DIAMOND ( BILA YA NYINYI KUJUA,ILA MNASUKUMWA NA NGUVU KUBWA YA JINA LA DIAMOND) MUNGEUTUMIA KWA KUIPROMOTI HIYO "USIJE" INGEKUWA IKO VIZURI SANA MKITO AU YOUTUBE ILA NYINYI MUDA MWINGI MNAMCHUNGULIA ALIYEWAKUTA NA SASA MNAANZA KUMFUATA KWA NYUMA KUJUA ANA NINI NA ATAFANYA NINI UJINGA HUO MLIONA NYINYI HUUKUTI KWA MASHABIKI WA DIAMOND.
 
Muziki sio uadui hichi ndicho mnachoshindwa kuelewa nyie mnaoshabikia team

Rich hajawahi kutangaza vita na Dii, tuache hizi "ligi ndogo".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…