Kwani tatizo lako apo ni nini, unawachukia wasafi au ma diamond au nini, embu acha ushabiki ali kiba na diamond wote ni wasanii wazuri na wanaimba vizuri sasa ukijifanya ushabiki utakuwa unafatilia wao tu na hutofikisha ndoto zako, mimi sitaki kiwa dancer wa diamond ila nakushauri uache kutokwa povu.. povuNDO MAANA BONGO FLEVA INABINAFSISHWA KWA MAWAZO MGANDO NA KUJIKOMBA KAMA HUKU! HAHAHAAA! HAYA DIMOND ASHAKUONA TAKUAJIRI KWENYE SAFU YA MOSE IYOBO KUKATA MAUNO
nA KINGI NIMEIPATA CHEZEA MIE, NA BUSARA ZAKO UKASOMA MSTARI KWA MSTARI NA KU COMMENT JUUUUUUU! HAINAGAAAAAAAAAA USHEMJIIIIIIII WANASEMAGA HAINAGA USHEMEJIIIIIIIIII SANTEEEEEEE SANTE SANAAA LE INTELIGENT KWA KUCHANGIA.
HAHAHAAAAAAAAA! POLE SANAAA, HII YOTE JEURI BUNDLE LANGU LA 1000. MPAKA LIISHE UTAKALIA MISUMARI YA KUTOSHA. NEXT PLEASEEEEEEEEEEEEEEEEE!Kwani tatizo lako apo ni nini, unawachukia wasafi au ma diamond au nini, embu acha ushabiki ali kiba na diamond wote ni wasanii wazuri na wanaimba vizuri sasa ukijifanya ushabiki utakuwa unafatilia wao tu na hutofikisha ndoto zako, mimi sitaki kiwa dancer wa diamond ila nakushauri uache kutokwa povu.. povu
ponti ni kuwa mambo yake yatakuwa chini ya salam sio D, kwa hiyo na yeye atapata mafanikio yale yale kwa kuwa kina salam ni mapro ndio maana hata huyo D kawaajiri.Hivi mkuu katika hali ya kawaida unaona kuna mtu anaweza kukuajiri ili uwe tajiri kama yeye?
Hao kina Salam wameajiriwa kummanage D, hivyo hivyo hao kina Mavoko watakuwa Managed na kina Salam ila chini ya D. So D anakuwa bosi wao wote hapo.
ponti ni kuwa mambo yake yatakuwa chini ya salam sio D, kwa hiyo na yeye atapata mafanikio yale yale kwa kuwa kina salam ni mapro ndio maana hata huyo D kawaajiri.
ponti ni kuwa mambo yake yatakuwa chini ya salam sio D, kwa hiyo na yeye atapata mafanikio yale yale kwa kuwa kina salam ni mapro ndio maana hata huyo D kawaajiri.
Swali kwako, unasema D kawaajiri kina Salam, je Mavoko atakuwa amewaajiri au ameajiriwa?
Usichanganye vitu mkuu, WCB ni label, Salam ni mwajiriwa WCB, mmiliki wa label ni D. Mavoko atakuwa mwajiriwa kama alivyo Salam kila mmoja kwa majukumu yake.
Tatizo lako Lara una wivu wa kitoto tunajua huwakubali WCB kisa rafikio kutoswa. Nakushauri tafuta bwana utulie nae.
Kabisaaaa anaendekeza NJAAAA!Muziki ni biashara lakini cha kushangaza wasanii wengi hawataki kujifunza the ins and outs of the music business.
Personally sishangai mavoko kusign WCB coz najua kilichompeleka pale ni established infrastructure ya WCB, kinachonishangaza na kwa nini he didn't demand a better deal i.e mavoko angekuwa na label yake ambayo ipo independent lakini ipo chini ya WCB, hivi ni vitu ambavyo vipo mfano MI ana label yake ipo chini ya chocolate city, Ice Prince naye amefuata nyayo, ukienda mambele mfano mzuri ni Dr Dre yupo chini ya Interscope, chini ya dre kuna shady, chini ya shady kuna g unit.
Au kama mavoko angekuwa na mtaji angefanya partnership na WCB kwenye management kama alivyofanya d banj na good music.
I guess mavoko mfukoni hana kitu na hana washauri wazuri, beggars can't be choosers.
Naona siku hizi mtu akimtukana Mrs. Tanzania anakuwa adui wa nnji nzima
Kwa hiyo kutukana mwanamme ni ruksa. Naanza kuona vikundi vya harakati za KUTETEA WANAUME vikianzishwaSIO MRS TANZANIA, MTU AKIMTUKANA MWANAMKE YEYOTE YULEEEEE TUNAMLA NYAMA BILA HATA KUMTIA CHUMVI. Tabia ya ukatili wa kijinsia haiwezi kuvumiliwaaa. Umarekani wenu wa kutukana wanawake huko huko, hapa bongo wanawake na tuheshimiwe na ma star wote. Mwanamke ni defenceless creature unaanzaje kumtarget dume zima na vipira vyako? Lazima uliwe nyama.
Inabidi nikutafute PM maana....HAHAHAAAAAAAAAAA! Jamani mbona 3 YRS ZISHAPITA na mtoto mmezaa bado tu mnamuandama binti Sepetu? Mbona waliotoswa na wengi tukianza kuita rejesta hapa tutakesha ile yeye tu ndo mnasafiria nyota yake.
Wenzako wanaogopaga kuni tag muda si mrefu na wewe utafanya hivo hivo, HAYA RUDI HAPA USEME TENA YALE MANENO YAKO KUWA UMCHUKII DIAMOND ................ NA JIBU NDIO HILI HAPA NIMEKUVUTA UMEJAA NDI. Maandihi yako popote ulipo ni chuki dhidi ya DIAMOND,unajifanya unamuonya Rich Mavoko kumbe ajenda yako kuu ni DIAMOND na mimi nililijua hilo ndio maana sikutaka kubisha nawe ila nikutafute nikuone na UNAFKI WAKO dakika chache umesema huna chuki naye nimeku pampu/nimekuchokonoa umeonyesha makucha yako chezea mimi wewe. MI NILIDHANI UTANILETEA (AJE) KUMBE UNALETA YALE YA "NGOJA NIKAKUITIE KAKA NDIO KIBOKO YAKO" (nadhani unakumbuka za kitoto ukipigwa na mwenzako unamtishia kumuita kaka/dada yako, ndio ulivyofanya wewe na hadi kiwango hiko huna hadhi ya kulumbana na mimi KAMA UNAWEZA KUONGEA JAMBO DAKIKA TATU UNAONGEA LINGINE)SIKU DIMOND AKIACHA KUFANYA SHOW ZA CORRIDOR HUKO MAREKANI AKAANZA KUFANYA HIZI ZA UWANJANI MNIAMSHE MAANA KWA SASA NAJILAZA KWANZA. HAHAHAAAAAAAAAAA! PHILADEPHIA HIOOO SIO NIGERIA.
Hahahaaaa! Mimi kuogopa kukutag HILO SAHAUUUU! Yani uzi wangu mwenyewe, niamke ndani kwangu niuandike afu nimuogope mtu thubutuuuuuuuuuuu!Wenzako wanaogopaga kuni tag muda si mrefu na wewe utafanya hivo hivo, HAYA RUDI HAPA USEME TENA YALE MANENO YAKO KUWA UMCHUKII DIAMOND ................ NA JIBU NDIO HILI HAPA NIMEKUVUTA UMEJAA NDI. Maandihi yako popote ulipo ni chuki dhidi ya DIAMOND,unajifanya unamuonya Rich Mavoko kumbe ajenda yako kuu ni DIAMOND na mimi nililijua hilo ndio maana sikutaka kubisha nawe ila nikutafute nikuone na UNAFKI WAKO dakika chache umesema huna chuki naye nimeku pampu/nimekuchokonoa umeonyesha makucha yako chezea mimi wewe. MI NILIDHANI UTANILETEA (AJE) KUMBE UNALETA YALE YA "NGOJA NIKAKUITIE KAKA NDIO KIBOKO YAKO" (nadhani unakumbuka za kitoto ukipigwa na mwenzako unamtishia kumuita kaka/dada yako, ndio ulivyofanya wewe na hadi kiwango hiko huna hadhi ya kulumbana na mimi KAMA UNAWEZA KUONGEA JAMBO DAKIKA TATU UNAONGEA LINGINE)
Tunajua Harmonize ni shemeji yakoUna uhakika? Biashara gani? Ya WCB? Hahahaaa! Usinisikitishe. Kwa hizi nyimbo BIG G wanazotoa au? IT IS SUCH A PITY AND SHAME MTU ALIETOA HIT KAMA MARRY ME KUKAA LABEL MOJA NA YULE TALENTLESS BOY WHATEVER HIS NAME IS. Kwambaliiiiiiiiiiii Baby Harmonise (Baada ya kuomba msamaha, uungwana ni vitendo nimemaliza tofauti nae na kurudi kuwa my favourite WCB member. Team Harmonise baby)