Tetesi: Ridhiwan Kikwete, Freeman Mbowe, Halima Mdee, miongoni mwa wadaiwa Twiga Bancorp

Zamani nilikuwa shabiki Mkubwa wa habari za mabaya ya wenzangu lkn kwa kadri siku zinavyokwenda najilaumu kushabikia matatizo ya wenzangu..nimekoma kabisa maana hatuelewi tunapopelekwa.
 
Hivi mikopo inatolewa kisiasa au kibiashara? Kama ni biashara na Mbowe ni mfanyabiashara anayetambulika shida hapo ni nini?

Tujiulize kwa nini bank nyingi zinapata hasara? Kwa nini wafanyabiashara wengi wameshindwa kurejesha mikopo?

Kwangu mimi economic mismanagement
 
Warejeshe pesa zetu! Kumbe Mbowe alikuwa anakopa pesa na kuzipeleka kwny vyombo vya habari kujitangaza huku akijua hazizalishi instantly uwwwwiiiiii
 
Erick Shigongo yeye ameamua kumwaga chozi hadharani, asema mpaka kieleweke ccm imlipe mabilioni yake; yeye na ccm mbele kwa mbele
Alifanyia kazi gani CCM na yale majarida yake ya siku kwa siku?
 
RIDHIWANI HATA KUJA KUISOMA NAMBA ILE HALI RAISI KASHASEMA HATAFUKU MAKABULI
 
Duh safari hii Mh. Mbowe atauza mpaka miwani. Maana Lowasa angekuwa ndiye rais wala tusingesikia hizi habari, na ndiyo maana akina Mbowe walitaka Lowasa awe rais ili wafiche dhambi zao, ila Mungu ni Mwema.
Mungu kawaona
 


Hizi ni habari mbaya kabisa na si suala la siasa rahisi rahisi tena, bali ni habari mbaya kabisa kwa uchumi wa nchi yetu!
Hao jamaa uliowataja, pamoja na wadaiwa sugu wengine wa mabenki, ni Watanzania wachache walithubutu ujasiriamali na kushindwa kwao ni mporomoko wa mitaji ya ndani! Sasa tungojee wachina waje na mitaji yao kuwekeza, na kama kawaida watakuja na wafanyakazi wote na kutuacha sisi tukiwa watazamaji!
HII NI HABARI MBAYA NA SERIKALI YETU INAPASWA JAPO KUSIKITIKA KAMA HAINA LA KUFANYA KUOKOA MITAJI NA JUHUDI ZA WAZAWA WENZETU!
 
Mkuu, mligeuza benki ya umma kuwa mali binafsi ya wana CCM mnaula sasa!!
Hahahah ana ukuu gan huyu....
alaf anasema taarifa haijajitosheleza taarifa zote zinazohusu mafisad ya ccm hazijajitosheleza lakin za chadema zimejitosheleza hahahaah
 
Ukweli ni kwamba huwa tubauziana sura na vitu vya mkopo kuna mbunge wa ccm kanda ya ziwa anadaiwa bilioni 10 na ECOBANK bado mda kidogo tuu ataaibika
Alipe tu kama anadaiwa,hatuangalii chama hapa anayedaiwa alipe!
 
serikali yake yenyewe inadaiwa deni la kutupa sasa anasema wanaodaiwa kivipi tena lake linazidi kukuwa
 
Kumchukia mwenye akili hakukufanyi uwe na akili- By Mchungaji Msigwa!
Kudaiwa Mdee hakukufanyi uwe na nafuu ya mboga nyumbani kwako au watoto wako watoke shule ya kayumba!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapo uliposema watulie sindano iingie taratibu
 
Duh safari hii Mh. Mbowe atauza mpaka miwani. Maana Lowasa angekuwa ndiye rais wala tusingesikia hizi habari, na ndiyo maana akina Mbowe walitaka Lowasa awe rais ili wafiche dhambi zao, ila Mungu ni Mwema.
Na ndio maana pia hatusikii Lugumi wala Escrow sababu hakuwa Lowasa angekuwa Lowasa yote yangekuwa waziiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…