Tetesi: Ridhiwan Kikwete, Freeman Mbowe, Halima Mdee, miongoni mwa wadaiwa Twiga Bancorp

Duh safari hii Mh. Mbowe atauza mpaka miwani. Maana Lowasa angekuwa ndiye rais wala tusingesikia hizi habari, na ndiyo maana akina Mbowe walitaka Lowasa awe rais ili wafiche dhambi zao, ila Mungu ni Mwema.
Ndio maana JPM wana siasa hawakaa kuja kumpenda. Maana anawaumbua mchana kweupe wafuate taratibu...JPM hana tatizo na watu ila watu hasa hawa wanaojiita na kujinadi ni wazalendo, wameidhulumu sana nchi hii...time will tell
 
Mbona izo B Mbili za halima ni vijisenti tu,kuna waziri wa maliasili na utalii kipindi cha jk alinunua nyumba ya B moja csh money tena hela za haramu tu iweje hawa wanakopa na wapo kwenye system ya kulipa.vp wenye hela za haramu wanapogawana milioni kumi kumi kama rushwa tu kwao imekuwa sawa staki kuamini bank kufilisika kwa kiasi kidogo kama hiko aiwezekani
 
Mbowe yuko Mikoani -kujenga chama,je ndiko anakohaha kusaka fedha za kuokoa Mali zake?
 
hivi watu kulipa madeni kunahusiana nini na kuisoma namba au mlitaka aingie mtu wenu ili muendelee kutafuna keki ya taifa peke yenu.Dawa ya deni ni kulipa
 
Ndio maana JPM wana siasa hawakaa kuja kumpenda. Maana anawaumbua mchana kweupe wafuate taratibu...JPM hana tatizo na watu ila watu hasa hawa wanaojiita na kujinadi ni wazalendo, wameidhulumu sana nchi hii...time will tell
Walio ithulumu hii nchi ni pamoja nayeye na wengi waliomzunguka na anaokaanao meza moja
 
Hilo povu tuu, kuprempt ya riz, hiyo benki Ni ya ccm
 
Hao Watu Wawili Ndiyo Wameifilisi
Mleta Mada Tulia Ulete Habari Iliyokamilika Na Orodha Ya Wadaiwa Wote Sasa Unaposema Tetesi Halafu Ndani Kwenye Andiko Umedhibitisha Kuwa Hao Ndiyo Wadaiwa Na Ndiyo Wameifilisi Twiga Corp Bank
 
Ccm hakuna mxafi imejaa maovu hata malaika akishka anageuka kuwa shetani
 
Sasa taarifa unasema unazo rasmi inakuwaje ni tetesi tena ?
 
Makamba aliliona mapema hili na ndio maana alisema Dodoma kuwa kama mlizoea ubatizo wa maji baridi basi huyu Yohana wa sasa hubatiza kwa maji Moto!
 
Tuelezi uchwara na wabunge wa CCM wanadaiwa shillingi ngapi maana zipo taarifa za uhakika walikopa?
 
Alikuwa anapiga nao dili anatamba kitaa, sasa wameishiwa mafungu, wamemgeuka anapiga ndulu
Akafanye kazi nyingine..hakuna msalia mtume wala adhana...kichwa kimeelekea kibra
 
Reactions: MTK
Kwani Ridhiwan alikuwa na kiwanda cha kufyatua noti, alikuwa akitumia ujanja ujanja huu wa kukopa kwenye mabenki bila kulipa.
 
Dah...ile kauli Mh JPM ya malaika na mashetani sasa naanza kuielewa...hongera "kitengo" mliona mbali[emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…