Ridhiwani Kikwete aalikwa mkutano mkubwa wa vyama vya siasa China

"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."

#Tunajifunza #RK

Sasa sisi inatuhusu nini taarifa hiyo?
 
Team Lowasa walimchafua sana Riz1 kipindi kile bila kumsahau Membe, eti Membe ni mdogo wake Kikwete.
 
Mkuu sijui watu huwana wanafikilia nini kabla ya kukaa nyuma keyboard na ku-type. leo hii Rizione amekuwa presidential material, kweli hii ni TZ ambayo watu wake wanakuwa kama wamechanganyikiwa
[emoji23][emoji23][emoji23] Bila Haya eti "presidential material ".
 
"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."

#Tunajifunza #RK

"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."

#Tunajifunza #RK

Rais wa 2030 huyo
 
Usikute wanataka kwenda kumkamata kwa ile issue yakeeeeee ileeee ya Regime ya 4!
 
Back
Top Bottom