Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Dah!Kumbe ni kweli!!Tanzania yangu"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."
#Tunajifunza #RK