Ridhiwani Kikwete aalikwa mkutano mkubwa wa vyama vya siasa China

Temepigwa alfajiri .hii familia ishakuwa kama Gupta na jamaa Yule south.
 
"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."

#Tunajifunza #RK

Yasije tokea yaleyale
 
Wamefanya lobbying kupitia backdoor ya miradi yao ya kimkakati iliyokuwa frozen. Mchina anajua sana kucheza n nyakati, asipopata mwenye mbwa [emoji240] anamtafuta mlinzi wa mbwa au anayepanga matumizi yake. Usinibishie kwani wachina nawjua zaidi ya wakwe zangu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."

#Tunajifunza #RK

Unaalikwa Kama nani?
Nafuu wangempeleka hata msukuma
 
Mkuu sijui watu huwana wanafikilia nini kabla ya kukaa nyuma keyboard na ku-type. leo hii Rizione amekuwa presidential material, kweli hii ni TZ ambayo watu wake wanakuwa kama wamechanganyikiwa
Watanzania tumerogwa iv kweli lini tutajitambua??kweli mkuu hii inauma sana na usikute huyo jamaa aliyetype ni msomi kabisa,lakin mawazo ya ovyo zaidi, iv kweli riz moko presidential material ??, tuko serious kweli, nchi hii ili itobee labda kizazi hiki kipite, kama bado kunawatu wapo na wanamawazo ya ovyo kiasi hiki, kweli hii ni hatari
 
Presidential material. Kaza buti kijana. Hawa ndiyo wanafaa kupewa Taifa. Siyo wale miungu watu wenye roho kutu
Taifa hili linawatu wa ovyo kama wewe, kweli tumepigwa tena tumepigwa haswa,nchi hii kutoboa labda kizazi hiki kipite
 
"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."

#Tunajifunza #RK

Huyu kijana kwa miaka sita iliyo pita hatukumsikia kokote akitajwa! Mara vapuu! Huyo! Kuna harufu ya kitu ambacho kingeichefua awamu ya tano!
 
Back
Top Bottom