SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ni zamu yenu Msoga Gang. Fanyeni mnavyotaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache watambe mkuu maana mwendazake aliwasomesha figureNi zamu yenu Msoga Gang. Fanyeni mnavyotaka
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania
Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria
Amejaaliwa sifa mbalimbali
•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu
Anafaa & anastahili & apewe nafasi
nyokooo zako...huyo hawezi ongoza hata kijiji. just f*(*&^^ privileged knobend.MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania
Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria
Amejaaliwa sifa mbalimbali
•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu
Anafaa & anastahili & apewe nafasi
usikute unamfulia chupi, mahaba ya kijingaMHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania
Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria
Amejaaliwa sifa mbalimbali
•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu
Anafaa & anastahili & apewe nafasi
Ha ha ha ha ha 🤣🤣Tulio iva tuko wengi mno......ulazima wa kuchaguliwa kwa kaka yangu Komredi Ridhiwani unatokea wapi jameni ?!!!!MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania
Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria
Amejaaliwa sifa mbalimbali
•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu
Anafaa & anastahili & apewe nafasi
Good binafsi Mimi naona huu ni wakati wa kijana ABEID LYSON MSANGANZILA kupewa kitengo chochote pale wizara ya elimu, huyu dogo ni mchapakazi sana lakini cha ajabu serikali inamwangalia tu😂😂😂MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania
Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria
Amejaaliwa sifa mbalimbali
•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu
Anafaa & anastahili & apewe nafasi
Kwa legacy gani kubwa aliyonayo kwa kipindi kilichopita?!!Riziwani tunakupa Wizara ya madini next week. Ukipewa sasa usisahau kuja kunishukuru.
Ni mimi meneja wa makampuni.
contact +255000565300
Tusiokuwa na connections uongozi tutatusikia kwenye bomba tu,tutabakia kuwa vibarua tu wa koo za waliowahi kutawala hata kama tuna vigezo vyoteExactly, vitabu vya historia vitakuwa na mengi ya kuandika maana tumesharudi kwenye uchifu!
Hangaya akiongoza jahazi!
Ameiva kwa kuiba au?MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN