Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria

Amejaaliwa sifa mbalimbali

•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu

Anafaa & anastahili & apewe nafasi

nyokooo zako...huyo hawezi ongoza hata kijiji. just f*(*&^^ privileged knobend.
 
Fred lowasa apewe wizara

Musa peterpinda apewe wizara

Lemutuz malechela apewe wizara

Lawrence Magufuli apewe wizara

Naangay Fred sumaye apewe wizara

Miraji kikwete apewe wizara

Shaban majaliwa apewe wizara

Kipi warioba apewe waizra

Nasra khatubu suluhu apewe waizara

Samia ghalib bilal apewe wizara

Fatma karume apewe wizara

Juma Omar Ali Juma apewe wizara

Samizi Phillip mpango apewe wizara

Jamila mfaume kawawa apewe wizara

Hao wote watoto wa viongoz Tena wa juu wanasubur hizo nafas za uwaziri Sasa ss tusiotoka familia Kama hizo tutapata kweli uongozi wa juu

Mleta mada kwakwel fikiri mara mbilimbili hoja yako

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria

Amejaaliwa sifa mbalimbali

•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu

Anafaa & anastahili & apewe nafasi
usikute unamfulia chupi, mahaba ya kijinga
 
Kama vile awamu hii hatutakawia na sisi kuwa na kurasa zetu kwenye “Pandora Papers”.
 
Kuna watu special ambao uja hapa kupima joto la kile ambacho kinatizamiwa punde. Serikali hii ni ya hovyo sana na moja ya sababu ni kwamba unaweza hata kuproject ni nini kinaweza kutokea miezi 6 ijayo toka leo. Yaani Ikulu imeivaa msoga na msoga imeivaa Ikulu.
 
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria

Amejaaliwa sifa mbalimbali

•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu

Anafaa & anastahili & apewe nafasi
Ha ha ha ha ha 🤣🤣Tulio iva tuko wengi mno......ulazima wa kuchaguliwa kwa kaka yangu Komredi Ridhiwani unatokea wapi jameni ?!!!!

#SiempreJMT
#NchiKwanza
 
UTAWALA wa AWAMU YA 6 hwenda ukawa bora mno kuliko tawala nyinginezo ikiwa tu mh.Rais SSH atakaa katikati vyema....ataenea katika mizani njema ya kuyafanyia kazi mapungufu ya AWAMU YA 4& 5.....

Ni ushauri tu.....

Ni ushauri tu kutoka kwa kijana mwenye kuipenda KIUHALISIA Tanzania zaidi ya nafsi yake......

#SiempreJMT
 
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria

Amejaaliwa sifa mbalimbali

•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu

Anafaa & anastahili & apewe nafasi
Good binafsi Mimi naona huu ni wakati wa kijana ABEID LYSON MSANGANZILA kupewa kitengo chochote pale wizara ya elimu, huyu dogo ni mchapakazi sana lakini cha ajabu serikali inamwangalia tu😂😂😂

Wakati wakubwa wakipigiana promo acha na sisi wadogo tuendelee kupigiana promo tutafika tu😂😂
 
Kuna kikundi cha watu flani wanaanzisha mada na kuchangia wenyewe, yani Ridhiwan apewe wizara?? Duh!!
 
Riziwani tunakupa Wizara ya madini next week. Ukipewa sasa usisahau kuja kunishukuru.

Ni mimi meneja wa makampuni.
contact +255000565300
Kwa legacy gani kubwa aliyonayo kwa kipindi kilichopita?!!

Mbona baadhi yetu vijana wa Tanzania ni wepesi mno?!!!

Binafsi nilishawahi kupata fadhila za mh.Ridhiwani japo si direct ....ila inapofika masuala makubwa ya nchi ni vyema tuweke mapenzi na mahaba pembeni......

SIEMPRE CCM
 
Hata uraisi unamfaa.mbona mwinyi kaweza zenji
 
Exactly, vitabu vya historia vitakuwa na mengi ya kuandika maana tumesharudi kwenye uchifu!

Hangaya akiongoza jahazi!
Tusiokuwa na connections uongozi tutatusikia kwenye bomba tu,tutabakia kuwa vibarua tu wa koo za waliowahi kutawala hata kama tuna vigezo vyote
 
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria

Amejaaliwa sifa mbalimbali

•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu

Anafaa & anastahili & apewe nafasi
Ameiva kwa kuiba au?
Ana elimu ipi aliyobobea?

Baba yake amemfundisha tayari vya kutosha sio?

Kwani Tanzania hakuna familia zingine zenye uhitaji zaidi ya hii ya Kikwete?

Mama mbunger,Mtoto mbunger na Baba rais wa Remote control, bado mnatamani tu!

Kweli ubwanyenye ni dhambi kubwa sana!
 
Hivi nyie chawa ni kwa nini huwa hamjipigii debe nyie wenyewe? Wewe hutaki cheo? Hutaki kula? Hutaki umaarufu?? Hebu acheni ufala aisee...
 
Back
Top Bottom