Ridhiwani Kikwete: Asilimia kubwa ya waandishi wa Habari ni makanjanja

Ridhiwani Kikwete: Asilimia kubwa ya waandishi wa Habari ni makanjanja

Na bado inabidi msemwe na hata kutukanwa ili mkae na akili za kujitegemea!!!!!!!!
Kutwa habari za siasa na wanasiasa tu kana kwamba hamna maishe mengine sio taarifa ya habari,sio michezo na kila liwalo la wanasiasa ndio mbiombio.............

Kama hamtii akili hamna rangi mtaacha ona!!!!
 
Page+1.jpg
 
Ohooo!
Ukweli unauma ,
Lakini Bwana mdogo anata ligi na waandishi makanjanja!

Anawajua, amewatumia, anajua uwezo wao na madhaifu yao..................na kweli hawamuwezi ndio maana kawaambia, sidhani kama anaongea asilolijua!!!!!!!
 
ridhiwani jakaya mrisho kikwete---the coming president of tanzania
 
Makanjanja waandishi wa magazeti ya Uhuru, Habari leo, jambo leo, pamoja na familia yake yote, anasema Tanzania ina amani wakati anawaharibu vijana kwa kuuza madawa ya kulevya, mwambieni asubili uchaguzi ujao tumuoneshe kazi.
 
Ni kweli iwapo ccm ikifanya kitu hata cha ovyo wao uwapongeza tu lakini upinzani ukifanya hata la maana wao hawalioni, WAAMBIE UKWELI HAO!!
 
mwandishi wa habari mwenye angala dv III ktk mkao mmoja ajitokeze, (kwa wenye dp). wengi kazi kujipendekeza kwa wakubwa. kuna mamburura pale clouds, magic na makanjanja kibao.
kazi zao ni kujadiri hoja hata ambazo hawajui details.

mbaya zaidi wanajiplaudi tu wakat hawna kitu eti kwa kuwa wana jukwaa la kuropokea. wengi wenu mmesoma ktk vyuo ambavyo english coz na computa ni bure. umefanya vzr kuwachana.

NOTE: mukija ofisini kwangu kuhoji maendeleo ya elim uje na vyeti. uwe emefaulu kuanzia masomo matano ndani yake kuwe na "C" tatu.
 
Huenda anapoona
hawanunuliki tena anawageuka, alipowahitaji aliwanyenyekea, na sasa
baada ya kupata kile alichokichuchumia hana haja nao na hata zile
bahasha za kaki hawapi tena.
Huenda ridhiwani kawapima kwa njaa zao na anajua bei ya kila moja wao.
 
Na ukanjanja Wao wanajenga UTRIAMS HOTEL Na miradi kede kede. Watanzania wanamezeshwa matapishi Hewa maskini ya Mungu .. Shigongo mie Sijui ataenda mbingu ya nani..!?
 
Leo makanjanja, kesho ukiwa na jambo lako unataka kulisema unawapigia magopti ooh nitakuwa na mkutano na waandisha wa habari na sio makanjanja tena teh teh teh hii ndo bongo banna......
 
Ama kweli mla kunde husahau, ila mtupa maganda..... Hivi Ridhiwani hajui kuwa baba yake alibebwa mno na waandishi hadi akafika hapo alipo? Yeye mwenyewe anasafiria umaarufu wa baba yake. Isitoshe mwenyewe Riz anawatumia waandishi kama bazoka, halafu leo anawatukana! Sawa inawezekana waandishi tuna kasoro, lakini Babaako kama Rais amefanya jitihada gani kuwasaidia waandishi? Mbona utawala huu ndio umekuwa wa mateso kwa waandishi na wanaharakati? Wanang'olewa kucha, wanauawa, wananyofolewa macho! Lo! TZ tuna safari ndefu. Basi kama wengi ni makanjanja, wakamateni mkawashitaki. Mbona mnawaacha wakati mna kila madaraka?
 
Back
Top Bottom