Ila sasa iko wazi kabisa kuwa yote haya ni huyu Kikwete. Nilikuwa nabisha ila it’s obvious yule mzee yuko radhi hata tuwe kama Somalia ila mambo yake yaende. Ndiye anayemdanganya huyu mama. Na si huwa kuna utaratibu ’silent’ wa kupokezana uRais kati ya Waislam na Wakristo ? Imekuwaje tena 2030 mipango ni tofauti. Jamani mambo yanazidi kuwa magumu. Mpaka hapa, basi labda Mungu mwenyewe aamue kutunusuru, ila peke yetu hatuwezi.Duh Bongo imefikia pagumu sana
Mwambie wakamruhusu akaazini swala leo na mawaidha atoe yeye msikitini mbele ya Mashekhe na maimamu wa msikiti... kwanini hua hawawaruhusu kwenda kuzika nao pamoja?kile ktabu chetu tukufu kinakataa mwanamke kuwa kiongozi mkuu abadan asilan, vp tena mbona mmemkubali na mnamtetea kwa kila viroja?
Wambie wairudishe tu si tunaikulu yetu dodomaHiyo madrassa iliishia wapi? Kama iliondolewa haipaswi tena kurudi tena, wapeleke kichangani au kwa mtoro wakakaririshane maroroso huko
Goodness wale walio nyuma ya mashehe njaa walioahidi kushika mapanga wanaanza kuibuka peupe wenyewe, Kwanza tetesi nikuwa huyu dogo ndiyo amemuhifadhi Polepole.Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!.
NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
View attachment 3511212
Inasikitisha, kwenye press mbele ya kamera Shekhe kasema atakata watu vichwa na kuwa watapita kila msikiti nchi nzima kujiandaa lakini hata kukamatwa kuhojiwa haijafanyika. Ukiona mbwa juu ya mti jiulize nani kamuweka huko mtini.Hivi vyombo vya ulinzi ndo vimeelekea shimoni kiasi hiki. Wanaacha watu wanatugawa kijinga
Wagalatia hua hawana mambo mengi Wala porojo , lakini mziki wake ukianza kuunguruma Tanganyika inazama mazimaGoodness wale walio nyuma ya mashehe njaa walioahidi kushika mapanga wanaanza kuibuka peupe wenyewe, Kwanza tetesi nikuwa huyu dogo ndiyo amemuhifadhi Polepole.
Back to the topic: Sasa kama hapo palikuwa madrasa(though bado hajaweka vithibitisho vya hiyo madrasa) ndiyo nini, yaani hilo lina umuhimu gani au anatoka madrasa irudishwe na ikulu ivunjwe? Je kabla ya madrasa back then kabla Waarabu hawajaja kununua binadamu(watumwa) kulikuwa na nini, yaani hao waliokuwepo kabla ya madrasa nao tuwajue. Vipi ikulu ya Dodoma(the official capital) Napo palikuwa na kitu gani kabla, madrasa, zizi la ng'ombe, parokia, kigango, nyumba ya masista, nyumba ya mganga wa kienyeji au danguro? Na inakuwa na faida gani kwa raia, huwa sifurahii conflicts za kidini lakini huu use*nge wa Ridhiwani na use*nge mwingi mwingine wa mashehe njaa bora na Wagalatia wawajibu tu ili mpambano ukolee.
Inasikitisha, kwenye press mbele ya kamera Shekhe kasema atakata watu vichwa na kuwa watapita kila msikiti nchi nzima kujiandaa lakini hata kukamatwa kuhojiwa haijafanyika. Ukiona mbwa juu ya mti jiulize nani kamuweka huko mtini.
Huu ni UONGO na upotoshaji mtupu,Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!.
NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
View attachment 3511212
Tulia dawa ikuingieKwahio ?
Na kabla haijawa madrassa kulikuwa na nini Huenda Kaburi la Zinjathropus but why is that either here or there ?
😂😂😂😂Hatimaye Historia ya Mohamed Said imekubaliwa na CCM awamu hii!
Haiwezekani, ni zamu ya mkristu.Anajiandaa kutwaa nchi mwaka buku mbili na 30 tushamshitukia.
Kwahio kama unaona hio ni value for money hawa jamaa wanaokula Kodi zetu ili walete Sera za kueleweka ndio wanaleta hizi story, all the best - Binafsi ningewashauri wakafundishe Tuition ya Historia huku walipo wanatumbua Kodi zetu bila mrejesho wa maanaTulia dawa ikuingie
Rizmoko anasukuma kete yake ya udini ili aungwe mkono na bakwataGoodness wale walio nyuma ya mashehe njaa walioahidi kushika mapanga wanaanza kuibuka peupe wenyewe, Kwanza tetesi nikuwa huyu dogo ndiyo amemuhifadhi Polepole.
Back to the topic: Sasa kama hapo palikuwa madrasa(though bado hajaweka vithibitisho vya hiyo madrasa) ndiyo nini, yaani hilo lina umuhimu gani au anatoka madrasa irudishwe na ikulu ivunjwe? Je kabla ya madrasa back then kabla Waarabu hawajaja kununua binadamu(watumwa) kulikuwa na nini, yaani hao waliokuwepo kabla ya madrasa nao tuwajue. Vipi ikulu ya Dodoma(the official capital) Napo palikuwa na kitu gani kabla, madrasa, zizi la ng'ombe, parokia, kigango, nyumba ya masista, nyumba ya mganga wa kienyeji au danguro? Na inakuwa na faida gani kwa raia, huwa sifurahii conflicts za kidini lakini huu use*nge wa Ridhiwani na use*nge mwingi mwingine wa mashehe njaa bora na Wagalatia wawajibu tu ili mpambano ukolee.
Ni kweli ila kwa haya yanayo endelea yanatia mashaka kuyatazama.Haiwezekani, ni zamu ya mkristu.
Huyo asubiri had 2040.
Kumbe nao wana 'mziki' kama wakata mapanga, kiongozi wa dini anasema 'mziki wetu' akimaanisha 'vurugu zetu'. That's pathetic.Wagalatia hua hawana mambo mengi Wala porojo , lakini mziki wake ukianza kuunguruma Tanganyika inazama mazima
Wasichokijua , nikwamba historia inaonyesha wagalatia ndio chanzo cha migogoro mikubwa ya Dunia..mifano midogo ni Rwanda, Angola ,Sierra Leone , central Africa , Mozambique n.k..hawa jamaa wanailisha Vatican na wakiamua kuwehuka, hakuna jiwe litaacha kugeuzwaKumbe nao wana 'mziki' kama wakata mapanga, kiongozi wa dini anasema 'mziki wetu' akimaanisha 'vurugu zetu'. That's pathetic.
Ndo namwelewa Magu kujenga ikulu domAjenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!.
NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
View attachment 3511212