PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Ikulu ya Tanzania ilikuwa madrassa zamani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwahio ?

Na kabla haijawa madrassa kulikuwa na nini Huenda Kaburi la Zinjathropus but why is that either here or there ?
Halikuwahi kuwa Msikiti, ule ukweli kwamba lilianza kujengwa na na kukaliwa na Mwarabu halilifanyi jengo kuwa Msikiti.
Hata wakati Mwarabu anamuuzia Mjerumani, ikumbukwe hilo jengo lilikuwa halijakamilika.
Mjerumani ndiye aliyekuja kulikamilisha
 
Na boko haram na al quida na al shabab na isis kwa hapa bongo ni kibiti mtwara hadi msumbiji

Hakuna aliyekataaa , what matters ni kwamba historia za dini katika nchi isiyofungamana na dini yoyote ni ukuma
 
Kwanamna mlivyokaliwa kooni kuna hatari mtazungumza hata ya chumbani kwenu. Pumbavu kabisa ninyi, mnadhani mtatutoa kwenye reli?
 
Historia hii wewe umeipata wapi ?
 
Hata nyumba ninayoishi kabla haijaisha iliwahi kuwa madrasa, haimaanishi sasa ni mali yao.

Yeye Ridhiwan atulie tu siku kikiwaka atapewa aende nayo Oman.

lakini kwa sasa haitakaa iwe madrassa kamwe.
 
Waislam ndio wachokoz wanataka kumficha samia katia vita ya udin maana vita ya udini haiingiliwi kimataifa maana ni vita ya raia vita ya serikal na raia ndio inaingiliwa
 
sasa siku nikikaa pale nitafuga duroc mabaki ya dagaa na matimo ya samaki mengi sana pale feri jirani zangu...
 
Ccm imetaifisha mali nyingi sana na nyingine badala ya kuwa ya serikali imezifanya mali za chama.
 
Ni kweli hilo jengo lilikuwa la Mwaarabu, Waingereza walipopewa Tanganyika kuisimamia kutoka kwa Mjerumani hawakutaka kujenga Ikulu wala hawakutaka kutumia Ikulu ya Mjerumani ambayo iko Lushoto Tanga, hivyo walimwomba huyo Mwaarabu hilo jengo ndio wakalifanya kuwa Ikulu. Mbona hiyo historia ipo ukienda makumbusho inajulikana!! Hivyo Ridhiwani amesema kweli tupu.
 
Halikuwahi kuwa Msikiti, ule ukweli kwamba lilianza kujengwa na na kukaliwa na Mwarabu halilifanyi jengo kuwa Msikiti.
Hata wakati Mwarabu anamuuzia Mjerumani, ikumbukwe hilo jengo lilikuwa halijakamilika.
Mjerumani ndiye aliyekuja kulikamilisha
Kwa hiyo unapinga kauli ya Mh.Waziri ?
 
malizia Syria , Iraq , Somalia , Mozambiqur , Lebanon , Libya , Yemen , Mali , Nigeria etc
 
Acha uzushi kima wewe
 
Kwani ameongea uongo?
Mbona wagalatia povu limewatoka?
Hata nyinyi mnaweza kusema chamwino ni uwanja wa kanisa, kwani kuna shida
 
Tukiwaambiaga kuwa linaloitwa genge la wahuni ndani ya sisim ni Muslim Brotherhood (MB) na wamejipanda kweli kweli ndiyo hapo akili ziwazinduke
Tumejipanga haswa,
Kama mbwai iwe mbwai

1. Rear Admiral Ameir Hassan - Mkuu wa Jeshi la Wanamaji (Naval Command)
2 Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo - Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu (Land Forces)
3. Meja Jenerali Shabani Mani - Mkuu wa Majeshi ya Anga (Air Force)
4. Meja Jenerali Iddi Nkambi - Mkuu wa Majeshi ya Vikosi vya Chini ( Battalions)
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele - Mkuu wa Majeshi ya Taifa (National Service)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…