PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Ikulu ya Tanzania ilikuwa madrassa zamani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tukiwaambiaga kuwa linaloitwa genge la wahuni ndani ya sisim ni Muslim Brotherhood (MB) na wamejipanda kweli kweli ndiyo hapo akili ziwazinduke
Hatariii sanaa
 
ana mbio za kutafuta uraisi wa nchi ambayo >60% ni Christians halafu anaongea hivyo? hii nchi ni lazima tuiganye, kiongozi unapaswa kuwa neutral hasa kama unaongoza jamii tofauti tofauti, lkn anaonyesha kabisa kwamba yuko bias, na yuko kwa ajili ya muslims tu, hivyo waanzishe nchi yao ya muslims only halafu huko ndiyo watawalane ...
 
Ikulu ni madrasa/chuo na ocean road mabweni,kuna msikiti pale
Ikulu ndiyo dar ul salaam(nyumba/makazi ya amani/salama)
Ilikuwaje ikajengwa kuwa ikulu? Yale majengo ndo madrasa au kiwanja?
Naomba ufafanuzi tafadhali!
 
Mwambie kabla ya kuwa madrassa palikuwa ni kiringe chetu wazaramo na sisi tunahtaji kurudishiwa eneo letu la kutambika
 
Naona rizmoko anajipanga mdogomdogo kuelekeka 2030 kwa kutumia karata ya udini kumbe kelele zote na bakwata ni mpango wake

Rais aliyepo ni muislamu atakayekuja pia awe muislamu...hivi mnawachukulia poa Sana wakristo???? Kilichotokea Oktoba 29 nadhani Oktoba 2030 itakuwa ni anguko rasmi la CCM...maana kizazi kitakachokuwepo ni Gen-Z na Gen- Alpha...Hawa hawataki kabisa kusikia CCM
 
BABA YAKE ALISOMESHWA BURE NA WAKRISTO KATIKA SHULE ZA KIKRISTO MPAKA AKAFIKA HAPO ALIPO...ALIBATIZWA JINA LA PHILIP

Amesema hilo?
 
Hiyo madrassa iliishia wapi? Kama iliondolewa haipaswi tena kurudi tena, wapeleke kichangani au kwa mtoro wakakaririshane maroroso huko
Hutaki historia itunzwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…